Mimi mlemavu sina miguu, natumia baiskel, kuna baba mmoja ananijali, Anaishi mtaani kwetu

Huu ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kutumia ulemavu wa binadamu kama chanzo cha kuchekesha watu. Mods tunaomba sana msivumie uhayawani kama huu. Hili ni li-mtu lizima linafanya ujinga kama huu.
 
Huu ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kutumia ulemavu wa binadamu kama chanzo cha kuchekesha watu. Mods tunaomba sana msivumie uhayawani kama huu. Hili ni li-mtu lizima linafanya ujinga kama huu.
We kwel kichwa Andaz kwaiyo kama mlemavu asiombe ushauri?
Kama iyo fuvu ndo ulilo litumia shule kujibiwa maswal pole sana
 
Nacheka kama mazuri, kwaiyo huyo jamaa hicho kikapu huwa anajitwisha kichwani daah ila watu
 
Huyo mlemavu ana kilo ngapi? Anambeba ktk begi au ile mifuko ya shangazi kaja?
ushauri kwa huyo mlemavu aachane na huyo bwana atafute bwana mwingine ipo siku atawekwa ktk kikapu na kwenda kutupwa mto Wami au coco bichi
 
Don't you think using other people's disabilities as ''funy tales'' shows how foolish and idiot you are?
Ilo boksi la kuhifadhia meno n hasara tupu nyinyi ndo wabinafsi manyuziiiiiii acha mtu apate ushauri wewe kama hapakufai pita kushoto mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…