Mimi mlemavu sina miguu, natumia baiskel, kuna baba mmoja ananijali, Anaishi mtaani kwetu

Mimi mlemavu sina miguu, natumia baiskel, kuna baba mmoja ananijali, Anaishi mtaani kwetu

Story za uongo za kutafutia Followers na likes .

Kikapu
Ananinafanya
Nimefumaniwa
Kanitupa jalalani uchi
Ananipitisha dirishani.

Uongo tu na kutweza utu wa watu
Ukitaka kukua na kuwa big digital content creator lazima uwe deep Sana katika uandishi
 
Kumbe kiswahili unakijua mbavu na nusu,Sasa kama mtu kaja niomba ushauri nisimsaidie kisa mlemavu wakat n binadam mwenzangu tumia akili na sio hisiašŸ™šŸ½
Siyo kila mtu anafurahia ujinga wa kuwakebehi walemavu. Hili jambo liko wazi na mtu yoyote hata awe mjinga atagundua kuwa simulizi yako ni ya kutunga. Kilichonifanya niandike english ni baada ya kuona huelewi athari za kebehi unayofanya kila nikikuelezea kwa kiswahili.
 
Samahani kaka magical power.

Mimi naomba nisaidie kisheria au kimawazo. Mimi nikilema sina miguu huwa natumia baskel
Hata kutembea natumia baskel kama naenda mbali huwa kuna kijana namuomba ananisukuma. Sasa kuna baba mmoja huwa ananipa msaada. Mara anipe hela yani ananijali sana. Anaishi mtaani kwetu na anaishi mwenyewe. Kuna siku alikuja kunichukua kwangu akanipeleka kwake tukafanyana nilipenda sana kwakweli na yeye alipenda mno kuliko hata mimi.

Tukaendelea hivyo nikajanikasikia ana mwanamke kazaa naye lakini yupo mkoani. Akijaga huyo mwanamke huyu kaka anakuwa haji kunichukua na mimi nikaelewa huyo mwanamke akiondoka huyu kaka kwasababu sikutaka watu wanione nnakikapu chumbani kwangu kikubwa huwa anakuja kunichukua usiku ananiweka kwenye kikapu tunaenda kwake watu hawatuoni.

Siku mmoja huyo mwanamke alikuja usiku wa manane akatufumania alivyoniona sina miguu siwezi kukimbia hata hakupigq kelele alipiga vibao. Na yeye akaniweka kwny kikapu changu nilijua ananipeleka nyumbani kumbe akaenda kunitupa jalalani nikiwa uchi akaondoka nilisali sana pale jalalani watu wakiamka wasinikute mimi nna aibu sana bahati nzur yule bwana alikuja na mtandio wa dela akanibeba tukaenda gest tukalalana asubuh akanichukulia bajaji nikaenda kwetu.

Huyu mwanaume kanogewa na mimi. Kila siku tunafanyana hata kama mke wake yupo. Anakichumba pale kwake ananipitisha dirishani tukimaliza ananiweka kwny kikapu ananirudisha. Sasa huyu bwana hata nikitoka akiniona nasukumwa na mtu anasikia wivu anaacha kila kitu ananipigia masimu ananigombeza kweli lakini hataki kumuacha huyo dada yupo radhi ampe huyo mwanamke dawa ya usingizi aniingize kwake anifanye halafu anirudishe sasa huyu mwanamke amenipeleka mpk serikali za mtaa nimuache huyu bwana lakini huyu bwana hataki kuniacha.

Natishiwa maisha sana na huyu dada nikikutana naye tu mara anishushe kwny baskel anasema mbona nikiwa naenda na huyo bwana natumia kikapu naona aibu mana watu hawajui mambo ya kikapu huyu dada ananitesa sana jamani.

Nisaidieni na huyu bwana hataki kuniacha na mimi nampenda siwezi mfukuza siwezi mkatalia kitu nikikataa ananibeba nifanyaje
Naomba tu nice uje watu wakuone nimechoka na haya mambo
@everyone
Anastasia21 BICHWA KOMWE - Tumwesige senior Nikifa MkeWangu Asiolewe
Naona umesdit ioneshe imeanzia kwako kuombwa ushauri na msaada wa kisheria.hili andiko lilipoanzia napajua na ni kwenye magroup ya wanawake kupeana ushauri huko Facebook.,ndo inazunguka kwenye magroup ya Facebook.
Ina karibia week Sasa.

Lakini kinachoshangaza hamsambazi hili andiko Ili kusaidia apate msaada wa kisheria,maana ukiangalia ni mtu anaenyanyaswa kingono.na mbaya zaidi ana ulemavu viungo so Hana nguvu hata za kukimbia na kujitetea dhidi ya huyo bwana.hiyo kuwekqa kwenye kikapu inaonyesha ana ulemavu wa wale waliodumaa,so ni rahisi kuingia humo..but is it funny?inachekesha? Ni lini jamii za kitanzania tutakuwa na akili timamu?
 
Kuna jamaa nilikuta google ana search "x" za vilema mi nikajua anapoteza muda kumbe inawezekana zipo bwana
 
Huyo soon atapandishwa hadhi. Toka kwenye kikapu, atahamishiwa kwenye kikabati cha mbao wakamfukie ardhini
 
Naona umesdit ioneshe imeanzia kwako kuombwa ushauri na msaada wa kisheria.hili andiko lilipoanzia napajua na ni kwenye magroup ya wanawake kupeana ushauri huko Facebook.,ndo inazunguka kwenye magroup ya Facebook.
Ina karibia week Sasa.

Lakini kinachoshangaza hamsambazi hili andiko Ili kusaidia apate msaada wa kisheria,maana ukiangalia ni mtu anaenyanyaswa kingono.na mbaya zaidi ana ulemavu viungo so Hana nguvu hata za kukimbia na kujitetea dhidi ya huyo bwana.hiyo kuwekqa kwenye kikapu inaonyesha ana ulemavu wa wale waliodumaa,so ni rahisi kuingia humo..but is it funny?inachekesha? Ni lini jamii za kitanzania tutakuwa na akili timamu?
Chai tu hii..kwahiyo huko kwwnye magrup yenu wanawale mmeshindwa kumsaidia??
 
Siyo kila mtu anafurahia ujinga wa kuwakebehi walemavu. Hili jambo liko wazi na mtu yoyote hata awe mjinga atagundua kuwa simulizi yako ni ya kutunga. Kilichonifanya niandike english ni baada ya kuona huelewi athari za kebehi unayofanya kila nikikuelezea kwa kiswahili.
Kutunga ebu pitia comment zote alafu utakutana. Na comment inayo sema ili andiko limetoka wap,ndo mana nakwambia tumia akili na sio hisia šŸ™šŸ½
 
Kuna jamaa yeye miaka ya 90 alikuwa anamvusha mlemavu wake kwenye kalai analifunga kwenye baiskel,asubuh na mapema anamrudisha
 
Pole sana Megical Power kwa ulemavu naomba nikununulie Bajaj ikusaidie katika shughuli zako
 
Whether ni tatepa ama la,,,, ! On a serious note, mtu unawezaje kula kilema ? Natambua ana hisia kama wanawake wengine,,, kuna namna ntamuonea huruma na nadhan dhakari haitadinda
 
Kuna kitu kidogo kiko wrong upande wako laaa sivyooo,,, midia zingekufata sasa ivii…
 
Back
Top Bottom