Mimi mlemavu sina miguu, natumia baiskel, kuna baba mmoja ananijali, Anaishi mtaani kwetu

Ngayon kailangan kong sabihin sa iyo na ang iyong ulo ay isang walang laman na kahon, saan mo nakita kung saan tayo tumatawa kung may humingi ng tulong sa pag-iisip?
Wewe ni mjinga kweli kweli ila hujitambui tu. Unawezeje kutumia ulemavu wa binadamu wenzako kama kichekesho?
 
Dunia ni kubwa hii jamani..

Mimi nataka kujua umabali anaokubeba ukiwa kwenye kikapu..

Na mkiwa faragha style gani kwako ni pendwa zaidi..?
 
Ushauri;
Huyo dada amuambie huyo blaza kwamba kama amempenda amuoe, hayo mambo yakutupwa jalalani ni futuhi kwakweli.

Pili, kama lengo lako la kuleta huu uzi ni kuchangamsha genge, dah hongera mkuu. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…