Mimi mlemavu sina miguu, natumia baiskel, kuna baba mmoja ananijali, Anaishi mtaani kwetu

Story za uongo za kutafutia Followers na likes .

Kikapu
Ananinafanya
Nimefumaniwa
Kanitupa jalalani uchi
Ananipitisha dirishani.

Uongo tu na kutweza utu wa watu
Ukitaka kukua na kuwa big digital content creator lazima uwe deep Sana katika uandishi
 
Kumbe kiswahili unakijua mbavu na nusu,Sasa kama mtu kaja niomba ushauri nisimsaidie kisa mlemavu wakat n binadam mwenzangu tumia akili na sio hisia🙏🏽
Siyo kila mtu anafurahia ujinga wa kuwakebehi walemavu. Hili jambo liko wazi na mtu yoyote hata awe mjinga atagundua kuwa simulizi yako ni ya kutunga. Kilichonifanya niandike english ni baada ya kuona huelewi athari za kebehi unayofanya kila nikikuelezea kwa kiswahili.
 
Naona umesdit ioneshe imeanzia kwako kuombwa ushauri na msaada wa kisheria.hili andiko lilipoanzia napajua na ni kwenye magroup ya wanawake kupeana ushauri huko Facebook.,ndo inazunguka kwenye magroup ya Facebook.
Ina karibia week Sasa.

Lakini kinachoshangaza hamsambazi hili andiko Ili kusaidia apate msaada wa kisheria,maana ukiangalia ni mtu anaenyanyaswa kingono.na mbaya zaidi ana ulemavu viungo so Hana nguvu hata za kukimbia na kujitetea dhidi ya huyo bwana.hiyo kuwekqa kwenye kikapu inaonyesha ana ulemavu wa wale waliodumaa,so ni rahisi kuingia humo..but is it funny?inachekesha? Ni lini jamii za kitanzania tutakuwa na akili timamu?
 
Kuna jamaa nilikuta google ana search "x" za vilema mi nikajua anapoteza muda kumbe inawezekana zipo bwana
 
Huyo soon atapandishwa hadhi. Toka kwenye kikapu, atahamishiwa kwenye kikabati cha mbao wakamfukie ardhini
 
Chai tu hii..kwahiyo huko kwwnye magrup yenu wanawale mmeshindwa kumsaidia??
 
Kutunga ebu pitia comment zote alafu utakutana. Na comment inayo sema ili andiko limetoka wap,ndo mana nakwambia tumia akili na sio hisia 🙏🏽
 
Kuna jamaa yeye miaka ya 90 alikuwa anamvusha mlemavu wake kwenye kalai analifunga kwenye baiskel,asubuh na mapema anamrudisha
 
Pole sana Megical Power kwa ulemavu naomba nikununulie Bajaj ikusaidie katika shughuli zako
 
Whether ni tatepa ama la,,,, ! On a serious note, mtu unawezaje kula kilema ? Natambua ana hisia kama wanawake wengine,,, kuna namna ntamuonea huruma na nadhan dhakari haitadinda
 
Kuna kitu kidogo kiko wrong upande wako laaa sivyooo,,, midia zingekufata sasa ivii…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…