Mimi mlemavu sina miguu, natumia baiskel, kuna baba mmoja ananijali, Anaishi mtaani kwetu

Subi
Whether ni tatepa ama la,,,, ! On a serious note, mtu unawezaje kula kilema ? Natambua ana hisia kama wanawake wengine,,, kuna namna ntamuonea huruma na nadhan dhakari haitadinda
ri upate kilema tuone kama hutafanyana" pumbavu zako!
 
Amia mtaani kwetu, mimi nina tenga la Kizungu nitakuwa nakubeba, nakupitishia mlangoni na hata kama unapenda kupitia dirishani nitakuwa nakupitishia dirishani. Huo utelezi uliompa huyo jamaa nami nataka niusikilizie ili nione kama hisia nilizozizojenga ghafla kichwani mwangu nijihakikishie mambo yalivyo mukide.
 
Subi

ri upate kilema tuone kama hutafanyana" pumbavu zako!
Tumia ubongo kufikiri na sio makalio,,, wapi nimewadharau vilema ? Hicho ni kitu kinaweza kumtokea mtu muda wowote ule kwa sababu za ajali magonjwa n.k, wengine wamezaliwa na hali kama hizo ,,, ! Mimi nimesema nawaonea huruma, mfano mdada hajiwezi yupo kwenye kibaiskeli mtu unamrubuni na kuzini nae, pengine humuoi,,, ! Una nzi kichwani sio bure
 
Nipo hapa naangalia kikapu na sikimalizi,, duuuuuuu sasa wewe ni mdogo kuliko kikapu mpaka unatosha au ukitolewa kwenye kikapu unaumuka.
 
Whether ni tatepa ama la,,,, ! On a serious note, mtu unawezaje kula kilema ? Natambua ana hisia kama wanawake wengine,,, kuna namna ntamuonea huruma na nadhan dhakari haitinda
...mtu anawezaje kula kilema! ? Swali lako.la kipumbavu sana....kwani mwenye ulemavu sio mtu! Uzuri wa kitu upo kwa alioona huo uzuri! Una mtazamo wa hovyo kabisa kuhusu ulemavu! Halafu jifunze kiswahili....hakuna mtu anaitwa kilema! Huyu ni mtu ,huwezi kumtambulisha kwa kilema' chake...kiswahili safi na sanifuntunachotumia sisi tulio elimika na wastaarabu ni.....mtu mwenye ulemavu !
 
Maskini huwezi kukwepa kudhihirisha upumbavu na Ujinga mbele ya kadamnasi ! Upeo wako ni mdogo Mno ....kwa heshima ya jukwaa,nakuacha ila Nina uhakika umejifunza kitu!
Mtu kilema...โŒMtu mwenye ulemavuโ˜‘๏ธwe bado kinda usione aibu kujifunza! Acha ufala!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hii chai noma ila hongera kwa kutuchekesha
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ