Mimi mlemavu sina miguu, natumia baiskel, kuna baba mmoja ananijali, Anaishi mtaani kwetu

KumekuchaπŸ˜‚
 
Unaongea udoko kulanina ww
 
Duuuuh. Hata kama ni Chai.
Ila hii Kali aisee,

Alietunga hii sijui alikuwa anawaza nini
 
dah! kipochi manyoya hakijawahi kumwacha mtu salama.
 
-Kilema
-Mlemavu
-Mwenye ulemavu
-Kiwete
Yote ni yale yale, unafiki ndiyo unafanya watu watafute neno ambalo 'eti' ni 'soft' wakati halibadilishi uhalisia uliopo.
 
-Kilema
-Mlemavu
-Mwenye ulemavu
-Kiwete
Yote ni yale yale, unafiki ndiyo unafanya watu watafute neno ambalo 'eti' ni 'soft' wakati halibadilishi uhalisia uliopo.
Kisaikolojia kuna tofauti aisee....kukuita mtu kilema ,kuna element za stigma..
, huyu ni mtu ila ana ulemavu....kilema.
 
Upuuzi mtupu, anakujali au anakutumia kumaliza hamu zake
 
Aloooh! Kama nyanya vile kumbe ni binadamu kisa upwiru 🀣🀣🀣

Lakini simlaumu huyo baba sababu kilema ambae hana miguu yote kitumbua kinakuja juu kama kitako cha bunduki
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Wee motoni direct
 
Aloooh! Kama nyanya vile kumbe ni binadamu kisa upwiru 🀣🀣🀣

Lakini simlaumu huyo baba sababu kilema ambae hana miguu yote kitumbua kinakuja juu kama kitako cha bunduki
Mkuu Shing Yui Hapo kwenye kuja juu kama ktako cha bunduki. Unaweza kuelezea kidogo mkuu ili tupate picha.
 
Hebu weka picha za utupu wako tujadili kutokea hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…