Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi sio mwalimu ila nipo manispaa ya bukoba.wilaya ya misenyi ipo barabara ya kuelekea uganda na sio mbali kama 30km kuingia kampala.ofcoz sio wilaya mbaya kwani kuna fursa nyingi za kibiashara.na pamechangamka sana karibu kagera
Wewe nenda usiulize,ukifika utapaona
ondoa hofu mkuu.misenyi pazuri..sehem mbaya kwa kagera ni ngara,nkwenda,.lkn kwako hapo ni mjini mm mwenyewe sio mzaliwa huku nipo kikazi tu.
ondoa hofu mkuu.misenyi pazuri..sehem mbaya kwa kagera ni ngara,nkwenda,.lkn kwako hapo ni mjini mm mwenyewe sio mzaliwa huku nipo kikazi tu.
Kwana wewe unatokea sehemu gani? ....kama unataka kujua idea ya paradiso panafananaje njoo nenda Misenyi!
Kama umezoea maisha ya tandika, sinza kwa wajanja, sijui yombo, magomeni au kwingine ambako watu wanakaa masaa matatu kwenye misululu ya magari basi kapaone Misenyi na maeneo makubwa Kagera kwa ujumla wake. Labda kama umekuwa polluted na maisha ya kuigiza ya huko Dar na nina uhakika baada ya muda utarudi kwenye mstari! KaribuNatoka Dar mdau wangu
Natoka Dar mdau wangu
Kama umezoea maisha ya tandika, sinza kwa wajanja, sijui yombo, magomeni au kwingine ambako watu wanakaa masaa matatu kwenye misululu ya magari basi kapaone Misenyi na maeneo makubwa Kagera kwa ujumla wake. Labda kama umekuwa polluted na maisha ya kuigiza ya huko Dar na nina uhakika baada ya muda utarudi kwenye mstari! Karibu
misenyi ni dar mara mbili sema haipati promo tu.... ahhaahah