Mimi mwalimu Mpya; Kagera Misenyi kukoje?

Mahug

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
36
Reaction score
7
msaada tafadhari, cjawahi kabisa kufika Kagera, na nmepangwa Misenyi
 
mimi sio mwalimu ila nipo manispaa ya bukoba.wilaya ya misenyi ipo barabara ya kuelekea uganda na sio mbali kama 30km kuingia kampala.ofcoz sio wilaya mbaya kwani kuna fursa nyingi za kibiashara.na pamechangamka sana karibu kagera
 
Ahaaaa, asante kiongozi....kwahiyo nisiwe na shaka cio?
 
ondoa hofu mkuu.misenyi pazuri..sehem mbaya kwa kagera ni ngara,nkwenda,.lkn kwako hapo ni mjini mm mwenyewe sio mzaliwa huku nipo kikazi tu.
 
Nashkuru kwa kutumia muda wako kunijibu, Asante Mungu akubariki....walau napata picha ambayo inanijenga kisaikolojia ata kabla cjafika!
 
Dogo kati ya wateule wachache wenye bahati ww ni mmoja wao.Wahi haraka isije ngoma ikabafdilishwa wengi wanapawania huko.
 
Kwana wewe unatokea sehemu gani? ....kama unataka kujua idea ya paradiso panafananaje njoo nenda Misenyi!
 
Natoka Dar mdau wangu
Kama umezoea maisha ya tandika, sinza kwa wajanja, sijui yombo, magomeni au kwingine ambako watu wanakaa masaa matatu kwenye misululu ya magari basi kapaone Misenyi na maeneo makubwa Kagera kwa ujumla wake. Labda kama umekuwa polluted na maisha ya kuigiza ya huko Dar na nina uhakika baada ya muda utarudi kwenye mstari! Karibu

Mimi ni wa kawaida sana ndugu yangu, naishi mazingira yoyote, ila nauliza ili nijue jinsi ya kukabiliana nayo walau kwa kiasi fulani
 
Back
Top Bottom