Mimi mwanaume mweupe, napenda sana wanawake weusi. Je, ni mimi tu au?

Mimi mwanaume mweupe, napenda sana wanawake weusi. Je, ni mimi tu au?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kiukweli linapokuja swala la mwanamke kwangu inabidi awe mweusi kwakweli.

Huwa inanipa hisia za ushindi kwamba nimepata mwanamke adimu ambaye hajajichubua na ni mwafrika orijino.

kwa sasa nimeo na mke wangu ni mweusi, na hata hapo zamani nilikuwa kinganganizi msumbufu mno kuhakikisha binti mweusi hatoki nje ya 18 zangu.

Nashangaa sana watu wengi wanavyousifia weupe ila binafsi mwanamke mweusi ndio kigezo cha kwanza kwenye mahusiano,

Sina maana ya kuponda wadada weupe, hapana! lakini ndo ivyo tena tupo tofauti.
 
Kulikuwa na haja yoyoye kutujulisha wewe ni mweupe?

Wapo weusi wanapenda weupe na weupe wanapenda weusi

Na kuna weusi wanapenda weusi na weupe wanapenda weupe, hakuna fomula.
 
Na Mama ulivokua mweupe.....h!!!!!!!

In Jiwe voice
 
Back
Top Bottom