Mimi mwanaume mweupe, napenda sana wanawake weusi. Je, ni mimi tu au?

Jamani Sio Bikra Tena...Saiv imekuwa Rangi[emoji2][emoji2][emoji2]
Mi napenda mwenye Chura KG 100
 
Yeah wanaume weusi napenda
Nilishangaa sana nilipomuona mkaka alikuwa mweusi sasa amekuwa mweupeee na ameingia mjengoni mwaka huu
Daah sijui mwaume yule alikwama wapi mpk kujichubua
 
Hata mimi napenda saaana wanawake weusi hata kuhonga kwa mwanamke mweusi nakata pochi ya kutakata. Wabarikiwe wanawake weusi wasioharibu rangi yao ya asili.
 
Kwangu ipo tofauti, lakini sio mbaya kutofautiana, mimi rangi yoyote ile ila nyeupe ni zaidi,
 
Hakuna mwanaume mweupe labda wa Kizungu
 
Nlikua nashanunau...KIKOPO CHA WHITENING CREAM kutika CONGO..

Basi nimekitupilia mbali
 
Pia wanawake wengi hatupendi wanaume weupe,sio utani et
Una uhakika na unachokisema mkuu...
Chunguza vizuri leo hii wanaolizwa na mapenzi ni black men than white
Coz white is beatiful&attractive while
Black is beautiful but not attractive...
 
Una uhakika na unachokisema mkuu...
Chunguza vizuri leo hii wanaolizwa na mapenzi ni black men than white
Coz white is beatiful&attractive while
Black is beautiful but not attractive...
We have different perceptions,binafsi sipend wanaume weupe pia nimejarbu kuona asilimia kubwa ya wanawake hawapendi white guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…