Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Mayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
maislam chinja chinja yanayofosi kila kila mtu awe muislam?wao si wanasema hawaogopi ...wamekutana na wanaume wanapenda vita kuliko chakula...Gaza yote imebaki magofu wanakimbiia kutafuta hifadhi.

Magaidi ya kislam dawa yao ni Israel.
 
anacho fanya Israel ni kuchochea chuki kwa wapalestina haitakaa amani itamalaki tena huko kwa sababu wakubwa na watoto wameona nini walichofanyiwa ni suala la muda tu
 
Wewe na mashoga wa kizayuni ndiyo mpo sahihi. 80 kwa mia ya dunia inakosea.
 
maislam chinja chinja yanayofosi kila kila mtu awe muislam?wao si wanasema hawaogopi ...wamekutana na wanaume wanapenda vita kuliko chakula...Gaza yote imebaki magofu wanakimbiia kutafuta hifadhi.

Magaidi ya kislam dawa yao ni Israel.
Mbona umechelewa sana kuyaona hayo, Ghaza siyo mara ya kwanza kusambaratishwa, lakini kumbuka tu, hutoweza kusambaratisha mioyo yenye Hamasa. Ingekuwa rahisi Ghaza ingeshasambaratika toka mwaka 1948.

Kinyume cheake tunaona Hamasa inazidi na Israel sasa hivi inawaka moto ingawa wewe huioni, moto Kusini, Moto KasKaskazini, moto baharini, na bado mapambano yanaendelea.

Vijana wa Kipalesgtina Ghaza hawapigani na mazayuni tu, usisahau na mabasha zo wa Kimarekani, Kiingereza na NATO na vibaraka wao kama wewe.
 
Vijana wa Kipalesgtina Ghaza hawapigani na mazayuni tu, usisahau na mabasha zao wa Kimarekani...
Huwa natilia shaka Sana uanamke wako maana huna haiba ya kike.

Mwanamke unaleta mambo ya "mabasha" kwenye hoja iliyo mbele ya hadhira ya watu!!!??

Wanawake ni viumbe wenye haya na wanaopenda kustiri vinywa vyao mbele za watu.

Ukiona mwanamke hana simile au hatumii tafsida hadharani, muogope sana.
 
Kuna kitu umeshindwa kuki-comprehend mkuu.Kwanza unaowaita Waebrania si wote Waebrania,wengi ni Khazarian,waliojipachika Uebrania Kwa siri.Hawa waliojipachika Uebrania ndio tatizo,kwa kuwa Mungu wao ni Molock au hata unaweza kusema Shetani.Hawa ibada zao zinahusisha makafara ya watoto wachanga,kunywa damu za watu ili ku-mantain ushetani na hata kutoa makafara ya halaiki kama kinacho-endelea Palestina.Kwa hiyo kwao yanayoendelea Palestine ni ibada kamili na halali.

Sasa Waebrania wanachukulia vipi mauaji ya Wapalestina.Wanauona kama uovu usiopimika,wakupindukia na usioneneka,ila hawana la kufanya kwa kuwa wenye nguvu na wanaotawala Israel ni Wakazaria,ambao wamejitwalia Uisrael lakini sio Waisraeli wa kweli.Bwana Yesu aliwaita Sinagogi la Shetani katika Kitabu cha Ufunuo 2:9 na 3:9

Naomba niseme hivi,hawa kwa ujumla ndio wanaoitawala Dunia,na uovu wote unaouona duniani wao ndio kiini.End game ni nini.Wanataka hatimaye Mungu wao Molock ambaye kama nilivyotangulia kusema ni Shetani in disguise atawale Dunia.Kama una macho ya kiroho utaona kwamba hawapo mbali sana,they are pretty close.

Nimalizie Kwa kusema mimi kama mimi kwa kuwa naelewa what is behind the curtain,siwezi kukubali mauaji ambayo ni ibada ya Kishetani kwa kisingizio cha kuishambulia Hamas,Hamas ambayo after all wao,the Synagogue of Satan,ndio walioianzisha kwa nia hatimaye ya kuhalalisha kile kinachoendelea sasa Palestina.Hili ni kafara la halaiki na mpango mahususi wa kuiba gas na mafuta Wakishirikiana na Marekani katika pwani ya Bahari ya Mediterranean ya Gaza.

Ndio Waarabu nao wana shida hata kiimani,kwa kuwa kimsingi mungu wa Waislamu ndiye Mungu huyo huyo wa the Khazarian Tribe,lakini hakuna justification yeyote ya kuwaua namna hii kwa sababu za kugushi kabisa.
 


View: https://youtu.be/3hxJgpJC8Y4?si=_N90CU1NXGyRd2rT
Kwa hali hiyo makanisani, nani asiyeelewa mabasha na mashoga ni kina nani?
 

View: https://youtu.be/3hxJgpJC8Y4?si=_N90CU1NXGyRd2rT
Kwa hali hiyo makanisani, nani asiyeelewa mabasha na mashoga ni kina nani?
Ubasha na ushoga siyo dini wala kabila. Juzi Kati hapa ustaadhi kuambiwa kalawiti watoto 15.

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa Simiyu Yahya Nawanda (muislamu) ana kesi ya kulawiti. Hiyo haikupi wewe "mwanamke" fursa ya kutotumia tafsida kuonesha hisia zako bila ya kuacha haiba yako ya "kike".

Zamani siye watu wa bara tulijua waarabu ndiyo walawiti wakubwa. Kumbe ulawiti ni tabia ya ulimwengu na siyo ya dini, kabila wala Rangi.

JIHESHIMU!!
 
Ha
Hayo yote bwabwaja na hororoja wewe, mimi nimekuonesha wapi nimejifundisha neno basha kuwa linaweza kuongelewa hata kwenye vikao vya maaskofu .
 
Ha

Hayo yote bwabwaja na hororoja wewe, mimi nimekuonesha wapi nimejifundisha neno basha kuwa linaweza kuongelewa hata kwenye vikao vya maaskofu .
Acha uzushi wewe. Zama za Farouq yule mcheza chakacha aliyekuwa dereva wa magari ya Mowlem neno basha halikuwepo??

Ukiwa "mwanamke" lazima uwe na stara.
 
Wewe na mashoga wa kizayuni ndiyo mpo sahihi. 80 kwa mia ya dunia inakosea.
Kwa ufahamu wako hao kwenye video watakuwa ni dini gani?
maislam chinja chinja yanayofosi kila kila mtu awe muislam?wao si wanasema hawaogopi ...wamekutana na wanaume wanapenda vita kuliko chakula...Gaza yote imebaki magofu wanakimbiia kutafuta hifadhi.

Magaidi ya kislam dawa yao ni Israel.
Your browser is not able to display this video.
 
Mayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
kama hamas wakisogea mstari wa mbele , myaudi atauaje wanawake na watoto
 
You better check your facts kaka to update yourself
 
Unaniuliza mimi kwani ndiye niliyewashawishi hao wananchi kuichagua hiyo Hamas kutawala Gaza!!

Kubali tu njia inayotumiwa na hao Mayahudi kupambana na Hamas ni ya hovyo.
kama hamas wangekuwa mstari wa mbele kuwazuia IDF je Idf angewafikiaje hao wanawake na watoto
Tumia akili yako vzr
 
ila ubogas wako wa kiwango cha lami
 
Wapalestina hawaanzishi uchokozi! Wachokozi ni hao Mayahudi waliowaondoa hao Wapalestina kwenye maeneo yao, na kuwageuza kuwa wakimbizi ndani ya maeneo waliyokuwa wanaishi kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
unabishana na quran ? unamkufuru mungu wako kisa wapalestina
 
Hizi hoja za mwandishi ni mfu. Hazina mashiko. Kwani lazima Wayahudi wawe na Taifa la peke yao? Kwani wakiishi kati ya jamii za Kimataifa tatizo lipo wapi? Mbona Wamasai hawana Taifa la peke yao?
Mbona Wasubi waliojenga hadi Mapiramids kule Misri tunaishi nao miongoni mwetu na jamii zingine?
 
Mbona Urusi inapora maeneo ya Ukraine na kuwageuza raia wa Ukraine mateka na wakimbizi kwenye nchi yao??
Kihistoria hakuna nchi inaitwa Ukraine. Yale maeneo yote ni maeneo ya asili ya Dola la Urusi. Odesa ilikuwa makao ya Malkia wa Urusi. Maeneo Yale karibu yote yaliwekwabchini ya utawala wa kiev wakati wa Umoja wa Soveit. Cremia ilihamishwa miaka ya karibu na mwisho wa Soviet Union kutoka Himaya ya Rusia kwenda kuwa chini ya Himaya ya Kiev Kwa ajili ya kurahisha utoaji wa huduma Kwa wananchi.
 
Wayahudi na Waislamu wako mbali sana,
Wayahudi hawali ngamia na sungura,
Wayahudi wanamtambua Yakobo kama mtoto wa Ahadi wa Ibrahim wakati Waislamu wanamtambua Ishmael,
Wayahudi mpaka leo hawaamini Yesu ameshakuja,
Wayahudi wanatoza riba
Wewe ni bonge la zombi kuwahi kutokea duniani. Post zako zimejaa hisia za udini badala uchambuzi wa Hali halisi. Umemfanya mzungu kuwa ndg wa damu wa Yesu badala wewe Nigar kuwa ndg halisi wa damu wa Yesu.

Dunia imezalisha watu mizigo wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…