Kwani yale masquad yaliyotumwa tarehe 7/10 yangetua peacefully bila kuzuiliwa na iron domes yangechagua wa kuua? Je yalielekezwa kambi za jeshi au ikulu?
Huwa najaribu kuvaa viatu vya mazayuni naona kabisa jaribio la 7/10 lilikuwa na nia ya kuwafuta mazayuni na nchi yao kwenye uso wa dunia.
Kwa hali hiyo ni ngumu kumrudisha nyuma mbogo aliyejeruhiwa. Dunia itazungumza tu kama formalities lakini wakuu wa dunia wanaelewa hofu ya mazayuni in the future. Kwa sababu hujui nini atakifanya tena huyo adui yako miaka 5 ijayo wakati unapodhani kuna utulivu.
Naona ugumu uliopo katika kuwarudisha mazayuni nyuma.
Wameamua iwe mvua iwe jua, wafe au wapone ila mission yao hadi ikamilike.
Sent from my SM-A225F using
JamiiForums mobile app