Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Mkuu jew,s hawafanani na waislamu.
Mungu wa wayahudi yehova ni tofauti kabisa na mungu wa waarabu na waislamu allah.
Soma
Qur'an 9:30
Qur'an 8:12
Kwanini Jews, Christian na Islam; zinaitwa Abrahamic Religions’?

Vitabu vya hizo dini msingi wange ni nini? Do research

Au wewe unaamini kabisa ‘Old Testament’ iliandikwa na Moses ambae anasimulia mpaka alivyokufa na kuzikwa kwenye kitabu cha Deuteronomy.

Fanya tafiti nani kaandika hivyo vitabu kwanza na msingi wa hizo story zenyewe.

Like I said mijadala ya dini sio mambo yangu sana.

Bye 👋
 
Mkuu kila dini ina Mungu wake.
Allah ni Tofauti na Yehova na Krishina.
Zote Qur'an na Torati ni hadithi za mapokeo hakuna ushahidi
 
Ila tambua Christianity chanzo chake ni Jewish religion.....tena Christianity imeanza miaka mingi sana kabla ya Islamic.

Ila tu Christianity ilipigwa Vita Sana na Wayahudi hapo mwanzo hivyo ikaletwa kwa wasio Wayahudi na wakaipokea na tangu hapo ikasambaa kwa njia nyingi.

hata watawala wa Kirumi baadae waliingia huko (japo mwanzo waliipinga sana hata kuua wahubiri wa mwanzo wa kikristo) ila baadae walijiunga huko kwa malengo yao ya kisiasa na kuieneza kwa njia ya umwagaji damu.

zitto junior Mathanzua
You are mostly correct Proved,except for one additional comment.

Warumi through their King Constantine from 15th March 321 through to 327 AD in collaboration with the Catholics ndio walioanza kuingiza upagani into Christianity including Sunday worship,and for this God will never forgive the Catholic establishment.In the Book of Revelation Chapter 18,we see God destroying the Catholic establishment.
 
Una hoja mkuu...ila kwanini wapalestina walikataa kuunda taifa lao pembeni ya Israel kabla ya mwaka 1967?.....

au labda walihofia Israel ingejitanua tu bila kujali mipaka yao ?..... ila walijikita kupigana kuifuta Israel badala yake wamepoteza hata kile kidogo walichoachiwa.

zitto junior Mathanzua Bams
Proved I am not aware of Palestinians refusing statehood,I am only aware of the Balfour Declaration supporting the creation of the State of Israel.This declaration was supported by the UN.

What was the the Balfour Declaration.It was a public statement issued by the British Government in 1917 during the First World War announcing it's support for the establishment of a "national home for the Jewish people" in Palestine, then an Ottoman region with a small minority Jewish population. The declaration was contained in a letter dated 2 November 1917 from the United Kingdom's Foreign Secretary Arthur Balfour to Lord Rothschild, a leader of the British Jewish community, for transmission to the Zionist Federation of Great Britain and Ireland. The text of the declaration was published in the press on 9 November 1917.
 
Attachments

  • Balfour_declaration_unmarked.jpg
    Balfour_declaration_unmarked.jpg
    71.6 KB · Views: 2
Yeah, nakuunga mkono sana.. ndomaana ukichunguza vifo vingi vitokanavyo na vita ya Ukraine ni wanajeshi raia wachache sana.

Lkn Israel haijamaliza hata siku 40 washakuja raia zaidi ya elfu kumi na mbili.

Hiyo pekee inaonesha ni Kwa namna Gani walivyo weak, pamoja na msaada kutoka Kwa USA na UE Countries Bado wanahangaika kupigana na HAMAS,unawapiga watoto na wanawake ambao ni defence less ili UPATE satisfaction ya moyo ila ukweli amefeli hiyo vita
 
Ila tambua Christianity chanzo chake ni Jewish religion.....tena Christianity imeanza miaka mingi sana kabla ya Islamic.

Ila tu Christianity ilipigwa Vita Sana na Wayahudi hapo mwanzo hivyo ikaletwa kwa wasio Wayahudi na wakaipokea na tangu hapo ikasambaa kwa njia nyingi.

hata watawala wa Kirumi baadae waliingia huko (japo mwanzo waliipinga sana hata kuua wahubiri wa mwanzo wa kikristo) ila baadae walijiunga huko kwa malengo yao ya kisiasa na kuieneza kwa njia ya umwagaji damu.

zitto junior Mathanzua
The letter to Lord Rothschild.
 
Attachments

  • Balfour_declaration_unmarked.jpg
    Balfour_declaration_unmarked.jpg
    71.6 KB · Views: 2
Kidini Jewish na Islam zinafanana sana kuliko Christianity.

Kwa sababu asili yake ni culture ya Middle East.

Jews anakula nyama iliyochinjwa na muislamu (halal); machinjio yao wameajili wa Islam. Na waislamu wanakula na nyama inayochinjwa na Jews (kosher).

Wote wanao mabinamu (tells you this culture, rather than religion).

Kutoka kwa Adam and Eve kwenda kwa Noah, watoto ni wale wale. Tofauti zao ni ndogo sana kushinda Christianity.

Shida ni mzungu, kwenye upotoshaji; he is good on propaganda na wakiristo ambao wengi hawajui hata hiyo biblia imepatikana vipi na kuna version ngapi.

Ukiijua vizuri biblia ilivyoandika toka mwanzo hadi toleo la mwisho; na unyama wa kukipata hiko kitabu.

Salalee kama una akili zako timamu utajiuliza inakuwaje hawa watu walikuwa makatili hivi, usifanye mchezo kwenye kueneza biblia; ukiijua vizuri historia yake. Unaweza achana na ukristo.

Kila mtu aamini anachodhani ni sahihi.
Hii sio kweli kabisa mkuu kuna watu wakristo hiyo biblia ya kihebrania wanayotunia jews wameisoma vizuri tu. Mimi mwenyewe nshaangalia mjadala wa jamaa mmoja mkristo akimweleza myahudi trinity kupitia vitabu vyao tena wakisoma kwa kihebrania kabisa na tafsiri yake kwa kiingereza. Pia wakasoma na masimulizi ya marabbi wao maan wao biblia yao ni agano la kale kama ilivyo biblia ya kikristo plus tafsiri za marabbi. Sasa unasemaje wanafanana na waislamu kuliko wakristo wakati wanatumia agano la kale lililo sawa kabisa na biblia ya kikristo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwanini Jews, Christian na Islam; zinaitwa Abrahamic Religions’?

Vitabu vya hizo dini msingi wange ni nini? Do research

Au wewe unaamini kabisa ‘Old Testament’ iliandikwa na Moses ambae anasimulia mpaka alivyokufa na kuzikwa kwenye kitabu cha Deuteronomy.

Fanya tafiti nani kaandika hivyo vitabu kwanza na msingi wa hizo story zenyewe.

Like I said mijadala ya dini sio mambo yangu sana.

Bye [emoji112]
Kwani wakisema fulani alikuwa anaandika kitabu inamaanisha lazima aandike kwa mkono wake? Kwanza mbona nature ya binadamu inaonesha kuwa watawala huwa hawafanyi kazi ya kuandika ila mawazo yao yanatolewa watu wengine wanaandika. Kwahiyo mfano Mkapa au Mengi ni kweli wameandika kwa mkono wao vitabu vyao? Au umewahi sikia Yesu anaandika vitabu kwa mkono wake?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Qur'an sio elimu bali ni hadithi za mapokeo ya adithi za kale za kufikirika na za utamaduni wa kiarabu.
Mkuu.
Labda kama elimu ya kuwachukia wakrsto na wayahudi.
Qur'an 9:30.
Qur'an 8:12
Sidhani kama unajua vitabu vya dini....
Huenda unachokiamini ni hadithi haswa..
 
Hii sio kweli kabisa mkuu kuna watu wakristo hiyo biblia ya kihebrania wanayotunia jews wameisoma vizuri tu. Mimi mwenyewe nshaangalia mjadala wa jamaa mmoja mkristo akimweleza myahudi trinity kupitia vitabu vyao tena wakisoma kwa kihebrania kabisa na tafsiri yake kwa kiingereza. Pia wakasoma na masimulizi ya marabbi wao maan wao biblia yao ni agano la kale kama ilivyo biblia ya kikristo plus tafsiri za marabbi. Sasa unasemaje wanafanana na waislamu kuliko wakristo wakati wanatumia agano la kale lililo sawa kabisa na biblia ya kikristo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Nimemuuliza hilo swali kakimbia 🤣🤣🤣😂
 
Kwanini Jews, Christian na Islam; zinaitwa Abrahamic Religions’?

Vitabu vya hizo dini msingi wange ni nini? Do research

Au wewe unaamini kabisa ‘Old Testament’ iliandikwa na Moses ambae anasimulia mpaka alivyokufa na kuzikwa kwenye kitabu cha Deuteronomy.

Fanya tafiti nani kaandika hivyo vitabu kwanza na msingi wa hizo story zenyewe.

Like I said mijadala ya dini sio mambo yangu sana.

Bye [emoji112]
Old tastement waandishi ni wengi mno mfano Moses, David Solomon, na wengineo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu jew,s hawafanani na waislamu.
Mungu wa wayahudi yehova ni tofauti kabisa na mungu wa waarabu na waislamu allah.
Soma
Qur'an 9:30
Qur'an 8:12.
Tatizo la waislamu ni kutaka kuifluence dini za kikrsto ns kiyahudi kwa kutumia mbinu zoote za vita na propaganda
Hizo dini zineandikwa wapi
 
Hii sio kweli kabisa mkuu kuna watu wakristo hiyo biblia ya kihebrania wanayotunia jews wameisoma vizuri tu. Mimi mwenyewe nshaangalia mjadala wa jamaa mmoja mkristo akimweleza myahudi trinity kupitia vitabu vyao tena wakisoma kwa kihebrania kabisa na tafsiri yake kwa kiingereza. Pia wakasoma na masimulizi ya marabbi wao maan wao biblia yao ni agano la kale kama ilivyo biblia ya kikristo plus tafsiri za marabbi. Sasa unasemaje wanafanana na waislamu kuliko wakristo wakati wanatumia agano la kale lililo sawa kabisa na biblia ya kikristo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Embu taja majina ya watoto na uzazi kutoka kwa Adam and Eve, mpaka kwa Noah.

Halafu uone hayo majina na idadi yanafanania na dini zipi. Kukusaidia Jews na Islam hakuna tofauti yoyote.

Ni hivi kwa mtu ambae anasoma vitabu vya dini kujadiliana nae haya mambo pekee aitoshi.

Kwa sababu kuzielewa hizi dini inataka usome au ujifunze pia na historia ya zilipotokea.

Bible ina version nyingi sana, kibaya zaidi hata translation zinakinzana; unajua kulikuwa na version ngapi kabla ya kuandikwa kwa King James Bible na mabishano yaliyokuweko kwenye tafsiri.

Bado hapo hata ujazungumzia version tofauti za hizo story zilizokuweko kwenye vitabu vya dini huko Middle East.

Umeshawahi kusikia Dead Sea scrolls, na yenyewe ni bible sasa ni sawa na King James Bible.

Ni hivi kuzungumza haya mambo inabidi upate na uelewa historia nje ya vitabu vya dini.
 
Back
Top Bottom