Kuna vitu unasoma mpaka unajiuliza ujinga wa mwandishi.
Swala la Israel na waarabu, ni ideological war; hakuna tofauti kubwa sana ya Rwanda kati ya Hutu na Tutsi.
21% ya Jews ni waarabu; bado kuna millions ya Jews wanaoishi Iran, Morocco pekee ( ina karibu 1 million Arab Jews) jumlisha Middle East yote ina Jews communities (ambao ni waarabu).
Kuna Arabs Jews wengi ambao awajaenda Israel wakienda waarabu kundi zima la Middle East hapo Israel si ajabu Arab Jews ndio wakawa majority in Israel.
Maana yake nini huo sio mgogoro wa race, ni mgogoro wa itikadi deep down, na jitihada za western supremacy ya kuchukua hilo eneo kuwapa white Jews power.
Jews na Muslim wanamgogoro wao zaidi ya miaka 2000, pamoja na hayo bila ya wazungu waliweza kuheshimiana na kuishi pamoja ndani ya Middle East kwa miaka yote Mpaka Hitler na maeneo mengine ya Europe walipoanza kuwafanyia fujo white Jews na kusababisha warudi Israel tena kwa kuomba ‘Ottoman Empire’ iwapokee (watch ‘Lawrence of Arabia’ the movie).
Moreover mater of fact Arab is the widely spoken language in Israel; japo wanajirabu kupotosha kusema ni Hebrew.
Hamas tactics zao ni ovyo (mengine wanajitakia); Ila behind this mess there’s a white man.
Hiyo ni vita inayosukumwa na ideology kuliko race, na mkakati wa mzungu kwenye ku dominate dunia.
Ni liafrika lijinga sana kama
MK254 hili jamaa ni la hovyo na jinga kweli linawoza shabikia haya mambo ya mabeberu yaani zinga moja la fala sijapata kuona, if it was up to me ningelipa ban JF.