Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Waislamu,,,na waarabu wanafundishwa na mungu wao propaganda dhidi ya wakrsto na wayahudi.
LAKINI BAHATI MBAYA ALLAH MUARABU HANA NGUVU KUMZIDI YEHOVA MYAHUDI.
NB: HII IPO MIAKA ZAIDI YA 1700 MPAKA LEO ALLAH KASHINDWA KUPOTEZA KIZAZI CHA WAYAHUDI
Hao unaowataja ni miungu ya Kiarabu na Kiyahudi. Yupi wapi Mungu wenu wa Kibantu????
 
Unajua Putin alichokifanya Bucha? alisafisha yote. Vita vya Ukraine na hivi vya Gaza ni tofauti. Urusi anapigana na Jeshi la Ukraine(ingawaje raia wanakufa). Hamas wamejificha katikati ya raia na wanafanya mashambulizi kutokea huko, hakuna namna wataacha kufa, tena hata wakifa inasemekana ni raia kwa sababu mara nyingi hata hawavai uniforms. Israel kapigana kiungwana sana kwenye hii vita.
 
Yeah, nakuunga mkono sana.. ndomaana ukichunguza vifo vingi vitokanavyo na vita ya Ukraine ni wanajeshi raia wachache sana.

Lkn Israel haijamaliza hata siku 40 washakuja raia zaidi ya elfu kumi na mbili.
waambieni hamas wasitumie Makazi ya Watu kupigana Vita, la sivyo wataisha hadi mayai ya uzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…