Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naujiuliza na kukosa majibuHivi kwanini wanaweka speed zoote hizo kwenye vigari mayai mayai, gari la kutembelea kwann liwekwe speed za kukimbilia, At least basi wangeweka mwisho 100 km/h.
We National Anthem njoo hukuMwingine kaenda.....kuna raia wanawashauri wenzao huu ujinga wa kulaza mshale,,, haya sasa zamu yake ya kulazwa.... amelala yoooooh..!
Mkuu unaambiwa kwa mjerumani ukiwa 200 unajiona kama uko 120 tu wala haufeel kama gari inakimbia siyo kama mjepuuuHivi kwanini wanaweka speed zoote hizo kwenye vigari mayai mayai, gari la kutembelea kwann liwekwe speed za kukimbilia, At least basi wangeweka mwisho 100 km/h.
Dada hicho ndio Kitu cha mjerumani... Aliamua kufika top speed.. Nahisi alitembea hiyo speed kwa barabara isiyo yenyewe.. Nafika speed za juu, ila kwa barabara chache sana na kwa mda flani. Huyo sijui alikuwa wapi hapo kama road hai sound kabisa. Akalale salamaWe National Anthem njoo huku
Si ili watuueHivi kwanini wanaweka speed zoote hizo kwenye vigari mayai mayai
Kwasababu barabara zao zinaruhusu. Na wanafuata sheria barabaraniHivi kwanini wanaweka speed zoote hizo kwenye vigari mayai mayai, gari la kutembelea kwann liwekwe speed za kukimbilia, At least basi wangeweka mwisho 100 km/h.
Kwahyo basi serikali yetu ikataze gari za hivo kwasabab miundombinu zetu sio rafiki.Kwasababu barabara zao zinaruhusu. Na wanafuata sheria barabarani