Mimi mwenyewe sijui pia kilichotokea

Mimi mwenyewe sijui pia kilichotokea

1662960421961.png

Kwa mchakao huo sidhani kama hata hiyo gauge imesoma uhalisia labda no shock ndiyo imepeleka mshale huko
 
Sasa ndio nasema km sheria inataka 80kmh kwann tuletewe gari zenye zinafika 280kmh
Mletewe na Nani? Kwamba Germany waanze watengenezea nyie second user magari? Sisi ndo tunaagiza magari ya nchi zawatu
 
Ancestors walivokua wakipanda punda tukawaona mafirigisi haya tutulie sasa
 
Back
Top Bottom