Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa Jini Kabula ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko Afrika Kusini.
Akipiga stori na gazeti hili, Kabula alisema: Ndoa yangu itakuwa na Bushoke tu. Sijali umbali wetu, lakini naamini siku moja atakuja na atanioa. Uhusiano wetu uko poa na tunawasiliana vizuri kila wakati, alisema Kabula na kuongeza:
Siwezi kusema atakuja lini lakini nawaambia kabisa wanaonizengea, watafute kitu kingine cha kufanya, mimi na Bushoke kilichobaki ni ndoa tu.
Hayo ndio Mahaba niue ukisikia hivyo.Yaan bushoke ameamua kuoa jini?? Siamini
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa Jini Kabula ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko Afrika Kusini.
Akipiga stori na gazeti hili, Kabula alisema: Ndoa yangu itakuwa na Bushoke tu. Sijali umbali wetu, lakini naamini siku moja atakuja na atanioa. Uhusiano wetu uko poa na tunawasiliana vizuri kila wakati, alisema Kabula na kuongeza:
Siwezi kusema atakuja lini lakini nawaambia kabisa wanaonizengea, watafute kitu kingine cha kufanya, mimi na Bushoke kilichobaki ni ndoa tu.
Mmmmmmmhhhhhhh Gridi ya Tanesco anataka kuvuta Msela Jela Bushoke?
Wakumuoa nani bushoke?asubiri sana yeye mwenyewe anapenda kulelewa na wanawake wenye pesa Zao , wewe mwenzangu na mm karubandika utaishia kusuguliwa tu, huyo bushoke kama huna pesa msahahu, maana kashalelewa sana na mijimama uko Yombo sema umalaya wake umemponza kaachwa, alipangishiwa hadi nyumba na gari alipewa yeye kujifanya Kidume akawa anafunua watu skirt ovyo ika mcost kabwagwa maisha yakamshinda kakimbilia south.
Prenatal...infancy..early child hood....late child hood...adolescence....ADULT....?????
mapacha wameondolewa
Wakumuoa nani bushoke?asubiri sana yeye mwenyewe anapenda kulelewa na wanawake wenye pesa Zao , wewe mwenzangu na mm karubandika utaishia kusuguliwa tu, huyo bushoke kama huna pesa msahahu, maana kashalelewa sana na mijimama uko Yombo sema umalaya wake umemponza kaachwa, alipangishiwa hadi nyumba na gari alipewa yeye kujifanya Kidume akawa anafunua watu skirt ovyo ika mcost kabwagwa maisha yakamshinda kakimbilia south.
Na mm nae mdomo huu, nisubir ban na mm , kwa kuwa sio maceleb au maadili.
niambie yule mtu bana hata kwa PM
bushoke hata hafanani na haya, kama kweli basi ni hatari sana
Mademu walikuwa wanamzimikia kishenzi enzi zile jamaa alikuwa handsome vbaya, ingawa halikuwa hajui kuvaa, basi wanawake wenye pesa zao wakawa wanamtunza, halaf nasikia jamaa kwenye mambo yetu ni Noma, inasemekana ana mguu wa mtoto, basi bwana kama hujuavyo chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho, ujio wengi wa mashorobaro mjini ukampoteza hakaw hana soko tena, hence great depression occurred.