“Mimi na Bushoke kilichobaki ni ndoa tu.”…Jini Kabula

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko Afrika Kusini.

Akipiga stori na gazeti hili, Kabula alisema: “Ndoa yangu itakuwa na Bushoke tu. Sijali umbali wetu, lakini naamini siku moja atakuja na atanioa. Uhusiano wetu uko poa na tunawasiliana vizuri kila wakati,” alisema Kabula na kuongeza:

“Siwezi kusema atakuja lini lakini nawaambia kabisa wanaonizengea, watafute kitu kingine cha kufanya, mimi na Bushoke kilichobaki ni ndoa tu.”
 
The pretenders full maigizo
 
Mwili umechooka.. katumika sana.
 
Chezea ngada ww hyu demu anapewa has brush ya maana ndyo maana kapagawa....usiombe demu wko agegedwe na mteja maxima akuache
 
Amekonda sana tofauti na alivyokuwa muigizaji kama jini..
 
Wakumuoa nani bushoke?asubiri sana yeye mwenyewe anapenda kulelewa na wanawake wenye pesa Zao , wewe mwenzangu na mm karubandika utaishia kusuguliwa tu, huyo bushoke kama huna pesa msahahu, maana kashalelewa sana na mijimama uko Yombo sema umalaya wake umemponza kaachwa, alipangishiwa hadi nyumba na gari alipewa yeye kujifanya Kidume akawa anafunua watu skirt ovyo ika mcost kabwagwa maisha yakamshinda kakimbilia south.
 
mapacha wameondolewa
 
bushoke hata hafanani na haya, kama kweli basi ni hatari sana
 
Mademu walikuwa wanamzimikia kishenzi enzi zile jamaa alikuwa handsome vbaya, ingawa halikuwa hajui kuvaa, basi wanawake wenye pesa zao wakawa wanamtunza, halaf nasikia jamaa kwenye mambo yetu ni Noma, inasemekana ana mguu wa mtoto, basi bwana kama hujuavyo chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho, ujio wengi wa mashorobaro mjini ukampoteza hakaw hana soko tena, hence great depression occurred.
 
Duu! kumbe na wewe umeona hizo sehemu zake maana unatwambia ziko kama mguu wa mtoto .
 
Sio lazima atuambie mbona bushoke yupo kimyaa ngoja aje na mzungu hahhhahhhahha
 
Back
Top Bottom