Hiyo taaluma ajira yake ni strictly halmashauri za wilaya na wizara ya ardhi. Tatizo kubwa ni kwamba kazi zake ufanywa kwenye mazingira magumu, kwa mfano kwenye halmashuri mpya utakuta hakuna vitendea kazi hivyo wataalamu wana lazimika kufanya hizo kazi za mipango miji na vijiji kwenye mazingira ya shida sana (manual) badala ya kutumia softwares.