Mimi na course yangu

Mimi na course yangu

operamini

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
22
Reaction score
3
Nitangulize salamu zangu kwenu wanajamvi. Nimechaguliwa katika course ya barchelor of science in urban and region planing katika chuo cha ardhi . Nahitaji kufahamishwa kuhusiana na hii course hasa katika swala la upatikanaji wa ajira. Nawasilisha
 
soma c mda wa ajira time to time ajira utajua ufanye nn ww kwa xaxa kaz yako n kuxoma kaxome
 
nimekusoma mkuu flyn rider ila naomba unipe ufafanuzi kidogo wa hiyo studio design inakuaje?

Sasa we mbona hujielewi?? Mda wote uko jf unachangia mambo yasiyo na msing akati ulikua na muda wa kuuliza au kuleta mada kama hii!! Ndo ushachaguliwa sasa ukiambiwa haina soko utaacha??
 
Hiyo taaluma ajira yake ni strictly halmashauri za wilaya na wizara ya ardhi. Tatizo kubwa ni kwamba kazi zake ufanywa kwenye mazingira magumu, kwa mfano kwenye halmashuri mpya utakuta hakuna vitendea kazi hivyo wataalamu wana lazimika kufanya hizo kazi za mipango miji na vijiji kwenye mazingira ya shida sana (manual) badala ya kutumia softwares.
 
Back
Top Bottom