Kwa kuwa Mungu alisema si vyema mtu aishi peke yake, na hivyo mtu atamwacha babae na ***** na kuambatana na
mkewe, na kwa kuwa mama yangu mpenzi
gfsonwin na baba yangu mzee mzima Kaizer wamenipa baraka zao,
nikitambua kuwa 'tunda' ni moja wapo ya basic needs, nikisukumwa na pendo la dhati moyoni, mara baada ya masharti
na vigezo kuzingatiwa, mimi, Ronn M, Mtanzania mtu mzima, nikiwa na akili timamu, na bila kulazimishwa na mtu yeyote,
natamka ya kwamba, @jineneke now belongs to me! Naahidi kupenda, kumjali,kumtunza, kumlinda na kumridhisha kama
baba na kama mume! Taarifa hizi zimfikie cacico, Mwa J (nilimpenda sana, (sorry jeneneke, never mind)), charminglady and AshaDii popote walipo. Taarifa hizi pia ziwafikie Erickb52, Asprin, Dark City, Baba V Mamndenyi, Preta Shixi889, Kongosho, BADILI TABIA, Mzee Mtambuzi, The Boss na platozoom. Nitoe onyo kwa Bishanga, kaa mbali! Shukrani za dhati kwa mshenga ruttashobolwa kwa kazi njema
Tayari nilikwisha agiza pete toka ughaibuni kama muionavyo hapa.
View attachment 62557
Kisses @jineneke! Kisses darling!
Halafu nataka kumindua coz nimegundua uko kwenye damu yangu....! The secretary kama unaridhia naomba unambie niachane na Preta na Remmy nijitulize kwako mama....najua Bishanga anakupenda kiuongouongo tu hana lolote kwanza kiruka njia sana na hana mapenzi ya kweli kwako!mi nimejituliza kwa kasuku wangu Bishanga
Nipo mama!miss u too Erickb52
Hizi ndoa za hapa jamvini sasa mmmh! too much! naomba mwongozo kwa Mamdenyi,Kongosho na Judgement!,hivi hakuna sheria inayowabana watu kuja kututangazia wakiachana!!??, afu je kila mtu anajitangazia tu!!?? mara HYGEIA na Erotica, mara Charminglady na Mtoto six, mara Ronn M na jeneneke, tena huyu jeneneke ndo mgeni sidhani kama hata ODM amemkagua, haya bana