Mimi na Jineneke sasa mambo mwaaaaaaaaaaaaah!



Nilishakupa kibuti Siku tatu, nne zilizopita, baada ya kusikia una harusi na Preta.
Mapenzi kwangu sina bahati nayo
Narudi zangu siasani nikaandae jimbo mie.
 
Last edited by a moderator:

kha, hebu tuache sie. MtotoSix my huz hebu njoo usikie huyu!
 
Last edited by a moderator:
na wewe uoneshe kwanza kubadilika nitafikiria.mwaaaaaaa baby
Mi ukinikubalia naahidi kwelikweli ntabadilika kabisaaaa na wala hutanisikia nahangaika kama mumeo wa sasa ( Bishanga )
Please love say yes to me bby....
I need your comfort please...
I need your Love honey...
Come to me and see the difference...
Love you The secretary
I hope you need happiness and i promise you will always be happy being with Me (Erickb52)
 
Last edited by a moderator:
Nilishakupa kibuti Siku tatu, nne zilizopita, baada ya kusikia una harusi na Preta.
Mapenzi kwangu sina bahati nayo
Narudi zangu siasani nikaandae jimbo mie.
Hivi Remmy unadhani ulichokifanya na PakaJimmy kinasameheka?
Mi nilijua mnatania kumbe wenzangu mnakula maraha kisa niko busy na maisha
Lol ngoja nijipumzishe kwa The secretary wangu mtulivu asiye na doa
Mtoto katulia utadhani utadhani malaika lol
Mlaumu sana huyo anayejiita PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:
hujanifikia mie,
nimekumiss hadi machozi yanatoka...
natumaini umerudi jumla jamvini...
Dah we acha tu ila siahidi kitu BADILI TABIA ila naamini tuko pamoja sasa!
Kama The secretary akinikubalia ombi langu ntabaki jumla coz ni mambo ya Kipya kinyemi na honey moon kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwa The secretary mie nakaa pembeni, unamjua Bishanga wewe? Unajua kuwa ana utaalam wa kutengeneza na kutuma radi na ni mjuzi wa kugeuza mjusi kuwa mamba? Mie simo aisee....

Dah we acha tu ila siahidi kitu BADILI TABIA ila naamini tuko pamoja sasa!
Kama The secretary akinikubalia ombi langu ntabaki jumla coz ni mambo ya Kipya kinyemi na honey moon kidogo!
 
Last edited by a moderator:
 
Ronn M naona umeamua kuvunja ukimya...!
Chukua salamu zangu kwa jeneneke mwambie akinimiss asisite kunipigia simu coz yakale hayanuki na Old is Gold....1
Sina nia wala maana mbaya hapa!
Jamani kama maana sio mbaya kwa nini usiweke wazi ya kale yepi?Mume wangu Mtarajiwa,Mahabuba wangu RONN M usiwasikilize hawa hakuna wa kale tunayejuana hata we si unajua me ni mgeni humu mpenzi?
 
Toa ushahidi mdogo kuhusu wasi wasi wako juu yangu ili hawa couple wakuelewe japo kidogo.

Ili na mimi nitoe ushahidi kwa mkeo ulipo lala jana!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…