Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee

Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake

Ahsanteni.
 
ni afaddhalli kuliko kusababishiana uharibifu na umauti badae 🐒
 
Umemuoa katika ujinga, na unamuacha katika ujinga.
 
Hivi kumbe siyo kila member wa JF ni GT, yani mwanaume na akili zako unaamua kuvunja ndoa kisa dini za watu weupe?

Nakuhakikishia mtoa mada ukiendelea na akili hizo, leo utamuacha mkeo kisa dini, kesho utamkataa mtoto wako kisa kagoma kufuata dini yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…