Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee

Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake

Ahsanteni.
ni uamuzi mbaya sana
 
Hamuwezi kuachana kirahisi rahisi hivyo halafu nami nipo bdo sijakata moto
 
Back
Top Bottom