Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Sawa mkuuHuo ni uzinzi tu, nothing else. Watu wawili mnaishi kwa misingi tofauti af mna assume ni kitu kimoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuHuo ni uzinzi tu, nothing else. Watu wawili mnaishi kwa misingi tofauti af mna assume ni kitu kimoja
Logical non sequitur.nani amemuacha mwenzake katika ujinga? It goes both ways dear.
ni uamuzi mbaya sanaKiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee
Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake
Ahsanteni.
Nini ambacho hujaelewa?alieelewa