Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

Okay!
No nikisema Imani siongeleo ulokole!
Naongekea "Christianity"...
Kuna walokole na Kuna wanaojiita walokole!
Ss sihitaji matatizo ,sbb nawajua vzr!😀
Nahitaji Ambae tunakiri, Imani Moja,tuonaongea lugha moja,watt ,uzao , generation ijue Mungu wa baba zao sio kuyumbayumba Leo kule kesho huku!

Refer; Ibrahim,isaka yakobo mok Musa...
Yaani Ume nitaja Mimi kabisa😃😂, dah ta ta ta 🏃🏃🏃
 
Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee

Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake

Ahsanteni.
We nae hujakua!

Dini za watu walizozianzisha na nyingine zinazaliwa Kila siku ndio zivunje ndoa!!?

Kama msomi mwenye akili timamu unawezaje kuchukulia Dini Kwa uzito huo ikiwa huyo Mungu mwenyewe Hana Dini yeyote yupo kama yeye kama taasisi ya uungu isiyofungamana na upande wowote!!

Dini zimekuja Africa kuanzia mwaka 1800 ,chukua 2024-1800=224 yaani dini imekuwepo Africa Kwa Miaka 224 TU yaani hata mwanzilishi wa ukoo wenu hakukutwa na Dini za wazungu akawazaa babu zako bila dini za wazungu Hadi Leo wewe uzaliwe ukikuta dini imeshafika ndio uamini hiwezi ishi bila dini!?

Jiulize kuanzia mwaka 0 Hadi 1800 waafrica waliishije bila dini na maisha yakasonga!!?

Muwe mnaacha mambo ya ajabu nyie watu!wewe ishi nae kama anakuheshimu kama mume inatosha hayo ya dini hayana maana!!

Kama akibadili Kwa kuogopa kuachika halafu akabaki moyoni na imani yake itakua na mantiki gani!?

Umenikera Sana we jamaa!!
 
Kumbe Bado hamjaachana halafu umedata hivi?Mkishaachana uone visa vyake,siutavaa chupi kichwani?
 
Hivi kumbe siyo kila member wa JF ni GT, yani mwanaume na akili zako unaamua kuvunja ndoa kisa dini za watu weupe?

Nakuhakikishia mtoa mada ukiendelea na akili hizo, leo utamuacha mkeo kisa dini, kesho utamkataa mtoto wako kisa kagoma kufuata dini yako.
Mwingine Hamas mwingine IDF, acha watengane kabla hawajaanza kuzichapa.
 
Imani ni kitu muhim
Kila familia inayoelewa inachunga sana hili!
Fuatikia Wana wa Israel walivyopewa warning na Mungu kuhusu kuoana na watu wa Imani tofauti?
So ni kitu kipo,Kila mmoja na anavyoamini, anavyotaka kizazi chake kileleweje
Ni imani tofauti au kabila tofauti?
Kulikuwa na haja gani Mungu kuwaumba hao watu ambao hataki waoane na wana waisrael? C angewaumba wa israel tu ieleweke
 
Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee

Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake

Ahsanteni.
Mambo ya kubadilisha IMANI ya MTU kwa sababu ya ndoa siyo vizuri mkuu, kama alikuwa tiyari kwa Hilo angelibadili majina kabisa kabla ya kuolewa. Hapo unachotafuta kwake sasa ni ugomvi Tu na inaonekana hiyo ndoa ulimlazimisha maana hakuwa tiyari na huenda hakupendi pia. Angekupenda wala hayo yasingetokea. Tafuta wa Imani yako muoe
 
Ni imani tofauti au kabila tofauti?
Kulikuwa na haja gani Mungu kuwaumba hao watu ambao hataki waoane na wana waisrael? C angewaumba wa israel tu ieleweke
Hahaaa duh ....
Mkuu ni Imani,sio kabila

Kila familia/koo inachunga hili
Liko wazi mbona
 
Back
Top Bottom