Mimi na mke wangu mapenzi yetu ya kizungu waswahili wanaona wivu

Wale wanafunzi waliofukuzwa na kutandikwa na mkuu wa mkoa wapo kitaa wanasumbua na hizi nyuz zao...

Ushapata laki mbili???
nasubiri nikamdange mamako si unajua mi ndo kiben ten chake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamani.
 
Chunguza vema inaweza kuwa kuna mimba mbili ndani ya ndoa yenu
 
Hapo ukute unatusimulia Muvii ulotoka iangalia

ujinga mi sipendi,we tuambie muvi ulokua unaangalia tuiangale wenyewe

kila mtu kwao kuna vi de o
 
Sio muda mrefu na ww utakuwa mjamzito.
 
Umeoa malaya
 
Aisee king'amuzi hakina bando mama.e
 
Jumapili hii nitabaki nyumbani kumfanyia kazi zote mke wangu ambaye ni mjamzito kwa sasa. Nitampikia chakula kizuri, nitamfulia nguo zake zote mpaka chupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…