Mimi na mke wangu mapenzi yetu ya kizungu waswahili wanaona wivu

Mimi na mke wangu mapenzi yetu ya kizungu waswahili wanaona wivu

Uja uzito wa mkeo umekua succesfully connected with ur brain
 
Nyie ndo mnakujaga kujinyonga ukija kugundua ukwel kuwa ulikua unaekitiwa!
 
pale unapogundua mtoto si wa kwako.,,,,
sijui utajificha wapi.........
 
Mke wako, pesa zako tumia upendavyo mkuu sijui umekuja kutuambia ili tukusaidie kutafuta hiyo page?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom