ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
Faki yuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faki yuu
salamabich
we mwanamke hapigwi haswa mwanamke mjamzito we kama unapiga wanawake we ni lipumbavu.
😂 😂 😂 😂 😂Uja uzito wa mkeo umekua succesfully connected with ur brain
Hata mimba uenda siyo yake huyu mleta mada.Unajitutumua hivo vyote afu kuna muhuni anapita hapo kimya kimya with 0% Efforts
Umnyoe na mavusi ili akienda kujifungua awe safi
😁😁😁 Na akienda clinic Dr. akiwa anapima njia kitu iwe swafiiiii...... Mzee zero IQ anatamabi angesomea udaktari wa wamama wajawazito!!!Umnyoe na mavusi ili akienda kujifungua awe safi
kwani wewe mkuu hupendi?Hii kitu anaipenda mno singo maza wangu mmoja ivi yakijaa tu utasikia nakuja uninyoe
Mkuu umeona isiwe taabu...😀Sawa
Kabisa mkuu najionea materemundo tu hapaMkuu umeona isiwe taabu...😀
Umnyoe na mavusi ili akienda kujifungua awe safi
Hahahahaha nmakubali kunyolewa?Umnyoe na mavusi ili akienda kujifungua awe safi
😂😂 Lakini mkuu si nawewe mzee huwa ana kuoffer hizo assistants hata kama si mjamzito?Kabisa mkuu najionea materemundo tu hapa