Mimi na mke wangu mapenzi yetu ya kizungu waswahili wanaona wivu

Mimi na mke wangu mapenzi yetu ya kizungu waswahili wanaona wivu

staki mwanangu apate tabu kama mimi babake natafuta usiku na mchana kwa ajili yake
 
Sawa nipe namba ya mke wako..nataka kumjulia hali
 
Kuna shule moja hapa ya chekechea,ada milioni 12 kwa mwaka;mlete huku mkuu
 
Yap hata kama ni msichana mpeleke feza boys watamvumilia tu sababu baba yake ni dishi kuyumba.
 
Tanzania hakuna elimu we mfungulie biashara tu achana na mambo ya elimu ya Tanzania 😂
 
Kama mnavyojua mke wangu kwa sasa ni mjamzito

sasa ntahakikisha mtoto anayezaliwa anasoma feza kuanzia nursery primary.mpaka form six
Alaf cku moja unakuta kajinyonga kisa mwanamke na hata safari ya kimasomo hajamaliza

Apo ndo utajua mipango sio matumiz
 
Yap hata kama ni msichana mpeleke feza boys watamvumilia tu sababu baba yake ni dishi kuyumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi hamna ila wewe ni Chizi kichaa hamnazo..limbukeni bwege mkuu wa Pwaguzi...👹😱
 
Kama mnavyojua mke wangu kwa sasa ni mjamzito

sasa ntahakikisha mtoto anayezaliwa anasoma feza kuanzia nursery primary.mpaka form six
Hakikisha pia unakuwa hai kipindi chote ambacho mwanao atakuwa nursery mpaka form six
 
Back
Top Bottom