feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,771
Hopefull atafanya zaidi ya huyu ila hawezi fungua uzi wa mambo haya😂😂 Lakini mkuu si nawewe mzee huwa ana kuoffer hizo assistants hata kama si mjamzito?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hopefull atafanya zaidi ya huyu ila hawezi fungua uzi wa mambo haya😂😂 Lakini mkuu si nawewe mzee huwa ana kuoffer hizo assistants hata kama si mjamzito?
Keep it upJumapili hii nitabaki nyumbani kumfanyia kazi zote mke wangu ambaye mjamzito kwa sasa nitampikia chakula kizuri ,nitamfulia nguo zake zote mpaka chupi.
Achaneno nae falaa huyooo...[emoji23][emoji23]Keep it up
😂😂Kwa kweli asifungue tu uzi kwa hilo. Lkn kama anakufanyia zaidi nampongeza sana maana wanaume wengine ni visirani hata kuvaa na kuvua soksi za viatu hadi afanyiwe na mkewe tena kibabe!Hopefull atafanya zaidi ya huyu ila hawezi fungua uzi wa mambo haya
Wewe je upo upande gani kati ya hizo mbili😂😂Kwa kweli asifungue tu uzi kwa hilo. Lkn kama anakufanyia zaidi nampongeza sana maana wanaume wengine ni visirani hata kuvaa na kuvua soksi za viatu hadi afanyiwe na mkewe tena kibabe!
Wewe je upo upande gani kati ya
Mm si muumini kabisa wa mfumo dume! Naamini sana kwenye ushirikiano wa kazi kwenye familia. Mtoa mada ingikuwa kawaida yake kufanya hayo asingesema jumapili hii nataka.........
Nashukuru mkuu.Ni kitu kizuri hongera mkuu
Haya mkuu endelea kunyoosha miguu maana leo ni mapumziko so naamoni leo anakufanyia mambo yooote mwenzetu atakayoenda nae kuyafanya Jumapili.Nashukuru mkuu.
we ni shoga?NYONYA ATA BALL'S ZAKO
😂 😂 😂 😂 😂Anajifungua lini?lol