Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Habari wakuu.
Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia.
Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu.
Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa pamoja na kipindi hiki cha msoto tupo pamoja.
Watoto wetu hawajui ugumu wa Maisha wakati mwingine mwanangu WA mwisho ananiuliza baba Gari yako ipo gereji?Namjibu ndio mana naona majirani wakipaki magari Yao.
Ewe mwanaume mwenzangu uliyeoa mpende mkeo kama heshima yako kaibeba.Mkigombana wekeni suruhushi Maisha yaendelee.