Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Shukran mkuuHongera
Inapendeza 👏 umepata mke mwema.Habari wakuu.
Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia.
Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu.
Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa pamoja na kipindi hiki cha msoto tupo pamoja.
Watoto wetu hawajui ugumu wa Maisha wakati mwingine mwanangu WA mwisho ananiuliza baba Gari yako ipo gereji?Namjibu ndio mana naona majirani wakipaki magari Yao.
Ewe mwanaume mwenzangu uliyeoa mpende mkeo kama heshima yako kaibeba.Mkigombana wekeni suruhushi Maisha yaendelee.
Haina maana kama hujaelewa bandiko langu.Tutakuamini vipi. Weka ushahidi wa ww na mkeo kuwa bega kwa bega kwenye kipindi hiki kigumu kama unavyodai
Daah mkuu nafukuza upepo Sana ila bado Kuna angle sijaipataFanya kazi...
Kazi zipo
Usikae kusema anavumilia na wewe komwe linaongezeka, Fanya kazi
Mkuu ✅Ukitusua usimuache sasa.
Hatari mkuu Ila itakuwa poaHongera
Matapeli muache kumpa dalali ahadi za uwongo hasa ninyi hapo mnaokaa bustani ya enibisi
What??Yaani mule mule. Kama mimi na puli. Kufa kupona.
Usijali pamoja 👊Hatari mkuu Ila itakuwa poa
Kwenye swala la kuchagua Kazi hapana mkuu.Shida nini mkuu je kazi hakuna ...?
Je unachagua kazi.?
Shida nini. Na karibu
Yaani wewe na mkeo. Kama mimi na kupiga nyeto. Tumefaana sana. Hivo hivo. Kwenye shida na raha.What??