"Mimi na Mpira unapenda nini?" ๐Ÿ˜ƒ

"Mimi na Mpira unapenda nini?" ๐Ÿ˜ƒ

Tinho_Under17

Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
10
Reaction score
6
"KATI YA MPIRA NA MIMI UNAPENDA NINI"๐Ÿ˜ƒ
Kama mwanaume mdau wa mpira inawezekana umewahi kukutana na swali kama ili kutoka kwa mwenza wako (mpenzi/mke)๐Ÿ˜€. Pia kama wewe ni mwanamke inawezekana umewahi kumtolea mpenzi/mume wako kauli kama hii๐Ÿ˜€. Anyway kuna siri imejificha apa kati ya "wanaume na mpira" bahati mbaya sana wanawake hamjaifaham, sasa leo naombeni niwapitishe kwenye huu uzi ili mjue, twendeni taratibu๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰
istockphoto-2157552224-612x612 (1)-1.jpg

Wanawake mlio wengi mnona kama wanaume zenu (wapenzi wenu) wanapenda sana MPIRA kuliko wanavyowapenda nyinyi. Tena mnafika mbali zaidi mpaka mnawauliza "KATI YENU NA MPIRA KIPI WANAPENDA ZAIDI๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”" daah this gender๐Ÿ™Œ
Screenshot_2024-10-18-08-32-25-1.png

Haiko ivo jamani, kuna reason behind na wanaume hua hatutaki mjue. Sasa ngojeni MPWA wenu niwasanue, twendeni taratibu๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰

Kipindi cha mipira hua ni kipindi ambacho wachumba (wanawake wetu) hua mnaona kama hatuwapendi na tumepunguza mapenzi, kama nlivyosema mwanzo, mnafika mbali zaidi mpaka mnaanza kuuliza "KATI YA YENU NA MPIRA KIPI TUNAPENDA ZAIDI"... Hili swali hua linaishia kuleta ugomvi tu, hua tunawajibu vibaya af mna-mind. Sasa mnajua kwanini hua mnajibiwa vibaya? Twende post inayofata ๐Ÿ‘‰
images (30)-2.jpg


Kwanza samahanini sana wapwa wangu kwa kutumia hii picha apa chini
Screenshot_2024-10-22-12-11-01-1.png

nimeitumia intetionally, Uyo ni aliekua mchumba wangu wa pale chuo (LOL๐Ÿ˜ƒ). Sasa kwann nimeanza nae kwenye hii post, uyu dear ex bana kuna siku aliwahi kuniuliza "kati yake yeye na mpira kipi napenda zaidi", sasa unajua nilichomjibu, Nilimjibu kwa kumuuliza "Kati yake yeye na mpira kipi nilitangulia kukifaham๐Ÿ˜‚" Wajomba kama siku ile nisinge-jiongeza nikaondoka na funguo nyingine ya kitasa wallah ningelala nje๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚(This gender๐Ÿ™Œ), Apa sjui kosa langu lilikua wap, nilikosea nini kumjibu vile??๐Ÿ˜‚ Haya tuachane na hiki kinogesho, tuendelee na maada yetu
GURwBJTWsAAXF5T-1.jpg


Sasa msichokijua ni kwamba wanaume tunapitia vipindi vigumu sana kwenye utafutaji wetu wa rizki, tunakuaga na njia nyingi za kutengeneza pesa, baadhi mnakua mnazijua ila zingine HUA TUNAWAFICHA, Sasa content yangu ya leo iko hapa kwenye hizi njia ambazo tunazificha.
GaEq0S_XEAAO89r-1.jpg

Chukueni hiiโœ๏ธ, sio kwamba tunapenda mpira kiivo, tunapenda kawaida tu ila sio kiasi icho mnacho-dhani. Kinachotufanya tuupe mda mpira ni UWEKEZAJI WETU๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, hii njia ya utaftaji pesa wengi wetu hua hatuisemi kwa wanawake wetu, tena mkituuliza tunakataa tunaruka futi 100,๐Ÿ˜‚ najua wanawake hamjanielewa namaanisha nini kusema UWEKEZAJI, twende post inayofata utanielewa
deab3d0d-2ba9-4a0b-a81b-6d4ec8a5bbb2-1.jpg

Wanawake nikisema uwekezaji namaanisha BETTING, wenyewe wanaita MIKEKA, MAJAMVI, ila mm napendelea kuita MARUNGU
images (34)-1.jpg

Sasa KUBETI ndio siri iliyojificha behind wanaume wenu wengi, wanashindwa kuwapa muda nyie wapenzi wao kwa sababu wanashindwa kujigawa mara mbili, yaani akupe muda wewe na wakati huo huo aweze kufatilia mkeka wake unaosoma 100M kwa buku๐Ÿ˜‚ (utani kidogo). Ila ukweli ndio huo, kuna jinsi mtu ukiwa ume-beti unataman kufatilia kwa ukaribu matokeo ya game zako (wajomba kama nadanganya nikosoeni!!).
istockphoto-811656748-612x612.jpg

Ngoja wanaume niwape haka ka-scenario kadogo af mniambie kwa hali kama hii utapata wapi ham ya kumuonesha upendo mpenzi wako.... twende taratibu
The Future of Live Sports.jpeg

Hua kuna ile moment (mara nyingi siku za j-moss na j-pili) siku ambazo kunakua na game nyingi almost kila mda, Sasa unaseti MKEKA (rungu) la game za mapema za wa-japani saa 4 asubuhi linachanika, una-deposite tena unaseti rungu lingine la game za saa 8 mchana linachanika tena, unasema sasa ngoja ufukuzie za jioni maana jioni ndo unyama๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unatengeneza rungu lingine sasa, mara nyingi ili rungu linakuaga na game za kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 5 usiku. Sasa izi za saa 11, saa12, saa 1, saa 2, hua zinatoa vzuri tu, zinabaki zile za usiku saa 4 na saa 5. Unakuaga unasubiri kwa umakini sana๐Ÿ˜‚ ila kuna tim moja hua lazima ikuchanie tu, yani lazimaaa๐Ÿ˜‚ tena ni ile tim ambayo uliiweka ili kujazishia Odds ๐Ÿ˜‚ (wanangu najua mnanielewa sana)
images (32)-2.jpg

Haya sasa kwa moment kama hii naomba mniambie WANAWAKE, huyo mwanaume wako atakupigia sim saa ngapi? mtaongea mambo yenu saa ngapi, analala ana hasira asubuhi ukimpigia sim hapokei unadhani hakupendi kumbe siku ya jana imeenda ovyo. Kwaio namalizia kwa kusema kwamba sio kwamba wanaume tunapenda sana mpira kuliko nyie... no... MARUNGU ndo yanatufanya tunahamishia fikra zetu zote kwenye kufatilia matokeo ya mechi. @TinhoUnder17
 

Attachments

  • istockphoto-2157552224-612x612 (1).jpg
    istockphoto-2157552224-612x612 (1).jpg
    48.7 KB · Views: 2
  • istockphoto-2157552224-612x612 (1).jpg
    istockphoto-2157552224-612x612 (1).jpg
    48.7 KB · Views: 4
  • images (30).jpeg
    images (30).jpeg
    12.8 KB · Views: 2
  • deab3d0d-2ba9-4a0b-a81b-6d4ec8a5bbb2.jpeg
    deab3d0d-2ba9-4a0b-a81b-6d4ec8a5bbb2.jpeg
    60.3 KB · Views: 2
  • images (33)-1.jpg
    images (33)-1.jpg
    87.8 KB · Views: 3
Sijasoma ulichoandika ila nikikutana na Hilo swali jibu ni Moja TU "nakupenda wewe"
Game ya Simba na wale walibya alikuja na yeye ni Simba first half yote tunafanya mapenzi second half nikaangalia game na sikumaliza
 
Tulikua tumegombana. Ndani hatuongei kila.mtu na yake siku mbili.
Kukawa na game ya Simba na Al Ahly Tripoli. Nikasema ngoja nikaangalie bar hii game. Kumuaga naenda kuangalia mpira nikaulizwa hilo swali.

Nikajibu wewe (kumbuka 2 days.hatuna story)

Nikajibiwa hakuna kwenda. Kilichofuata ikaanza mechi yetu

Matokeo ya simba nikayapata asunuhi.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hili swali la Kijinga nilishawahi kuulizwa kipindi cha nyuma. Aisee yule demu nilimuonaga bonge la Phaller, mpira dk 90 wewe upo siku zote.
 
Sijasoma ulichoandika ila nikikutana na Hilo swali jibu ni Moja TU "nakupenda wewe"
Game ya Simba na wale walibya alikuja na yeye ni Simba first half yote tunafanya mapenzi second half nikaangalia game na sikumaliza
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚daah
 
Tulikua tumegombana. Ndani hatuongei kila.mtu na yake siku mbili.
Kukawa na game ya Simba na Al Ahly Tripoli. Nikasema ngoja nikaangalie bar hii game. Kumuaga naenda kuangalia mpira nikaulizwa hilo swali.

Nikajibu wewe (kumbuka 2 days.hatuna story)

Nikajibiwa hakuna kwenda. Kilichofuata ikaanza mechi yetu

Matokeo ya simba nikayapata asunuhi.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ uliangusha point kizembe, mwanaume msimamo kaka
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hili swali la Kijinga nilishawahi kuulizwa kipindi cha nyuma. Aisee yule demu nilimuonaga bonge la Phaller, mpira dk 90 wewe upo siku zote.
๐Ÿ˜ƒwanawake wanazingua sn kaka
 
Back
Top Bottom