Mimi na Mwanajeshi tumefungiwa ukweni

Mimi na Mwanajeshi tumefungiwa ukweni

Mkuu wewe ni wa chugastan halafu ngaleloo unaiita ngareroo?

Huoni ume sound kama wa kuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Chaliangu acha ufamba,,hakunaga Ngaleloo ni Ngareroo,,ndomaana panaitwa Ngarenaro na sio Ngalenalo,,Muda Si mrefu utanambia ni Ngalenalo Alusha,,Usiongee2 ili uonekane nawewe upo bablai
 
Chaliangu acha ufamba,,hakunaga Ngaleloo ni Ngareroo,,ndomaana panaitwa Ngarenaro na sio Ngalenalo,,Muda Si mrefu utanambia ni Ngalenalo Alusha,,Usiongee2 ili uonekane nawewe upo bablai

Ni hivi chalii.

Ngaleloo haijatokana na Ngarenaro kwa hivyo hapo umefanya comparison isiyo sahihi.

Ngaleloo imetokana na Ngalimi iki refer mitaa yote ya kule ungalimited.

Baada ya kuitwa ngalimi kwa muda ika develop mpaka kuitwa 'Ngalelo'

Ngalelo sasa ndo imekuja hadi 'Ngaleloo'

Now you know chalii wa kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom