Mimi na mwenza wangu tunatarajia kutafuta mtoto wa kike, tunataka awe Giniasi tunaomba muongozo wenu

Kuwa genius inategemea na DNA ya baba na mama. Kama pande zote.
Kama upande baba na mama hakuna genius.. hata kwenye ukoo wao kama hayupo... ni ngumu mtoto kuwa genius.
Genius wanazaliwa.. not made.
 
Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike.
Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
Man genius is a rare gift. Na hiyo huwa inakuja tu.
Kumlea mtoto vizuri akiwa mdogo.. atakuwa intelligent tu. Lakin genius inategemeana na DNA ya baba na mama.. kama kwenye koo zenu kuna genius maybe inaweza kutokea kwa mtoto wenu.
 
Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike.
Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
kama koo au ukoo zenu mtililiko ulikuwa na vilaza kati ya mkea au mume hapo usitalajie ni majaliwa
 
Wewe sema unataka jinsi ya kupata mtoto wa kike basi uginias mbona watoto wote wa siku hizi ni vichwa hatari?

Haya kupata mtoto wa kike

1. Msifanye mapenzi siku ya 14 tangu mke amalize siku zake

2. Mfanye siku za hatari zote kasoro siku ya 14 afu iwe ni usiku coz mwanaume mbegu zinakuwa weak kwa sababu ya uchovu so lazima mtoto atokee wa kike
 
Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike.
Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
Mtafute niki wa pili
 
Km nyie muko wawili mumeshindwa kupeana muongozo..... basi usitegemee lolote toka kwa mtu mmoja jf....



Vitu vingine sio vya kuhitaji msaaada..... kaza tu...

We kilaza mama kilaza unataka mtoto atoke geneous....
Duh.
 
Unataka mtoto awe genius au intelligent?

Kupata mtoto genius ni very rare mkuu,
Ila kupata mtoto intelligent inawezekana, na mostly it is genetically, kwa hiyo you can just be born smart or dumb

Research zinaonesha kuwa mothers wana mchango mkubwa sana katika kuproduce watoto wenye akili kwa sababu wakati wa uumbaji intelligence inabebwa na X chromosome,
Kwa hiyo hapo choose unayetaka kuzaa nae wisely

Bear in mind, girl ni XX while boy ni XY,
Mtoto wa kiume intelligence inatoka kwa mama,
Mtoto wa kike ni 50/50 sababu na baba anaproduce X chromosome katika uumbaji wake

However, intelligence can be boosted
1) Your lifestyles, kuleni vizuri pumzikeni vzuri before trying to conceive
Mama kula vizuri during pregnancy na fuata masharti ya daktari,
Mama kula vizuri baada ya kujifungua,
NB: ninaposema kula vzuri simaanishi kula in large quantity, but eating healthy and what matters
2) Pia malezi yenu na lifestyle mnayomchagulia mtoto wenu yatasaidia sana kuboost his/her intelligence
 
Wanawake ndo wanadetermine intelligence ya mtoto ....biological fact kama mpnz wako bashiteee nadhani unajua nn kitatokea
 
Ni mgeni JF ila kwa mada hii nimeipitia na kuona umuhimu wa kuchangia kile ninachokijua kuhusu kupata mtoto genius.
Ikiwa mwezako (wa kike) ana sifa hizi basi kuna posibility ya kupata mtoto genius.
1. Je ana mzunguko wa siku 21? kama hana hawezi kupata mtoto wa aina hii.
2. Je anazaa watoto mapacha? kama katika kizazi chake mama yake au bibi yake hakuna aliyezaa mapacha hawezi kupata mtoto wa aina hiyo
3. Je anazaa watoto wanaotumia mkono wa kushoto au katika familia yake au yeye mwenyewe anatumia mkono wa kushoto? kama hatumii mkono wa kushoto na katika familia yake hakuna watumiaji wa mkono wa kushoto hawezi kupata mtoto wa aina hii.
Je unahitaji mtoto mwenye akili zaidi au genius peke yake. Ikiwa hitaji lako ni mtoto mwenye uwezo wa kiakili zaidi. Niko kwa ajili ya kuelimisha Let me hear from you.
 
Hakuna njia ya mkato ya kupata genious akikua uyo dogo msisitizen asome sana asipende ngono
 
Mama asitumie kilevi wala haramu yoyote., hongereni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…