Unataka mtoto awe genius au intelligent?
Kupata mtoto genius ni very rare mkuu,
Ila kupata mtoto intelligent inawezekana, na mostly it is genetically, kwa hiyo you can just be born smart or dumb
Research zinaonesha kuwa mothers wana mchango mkubwa sana katika kuproduce watoto wenye akili kwa sababu wakati wa uumbaji intelligence inabebwa na X chromosome,
Kwa hiyo hapo choose unayetaka kuzaa nae wisely
Bear in mind, girl ni XX while boy ni XY,
Mtoto wa kiume intelligence inatoka kwa mama,
Mtoto wa kike ni 50/50 sababu na baba anaproduce X chromosome katika uumbaji wake
However, intelligence can be boosted
1) Your lifestyles, kuleni vizuri pumzikeni vzuri before trying to conceive
Mama kula vizuri during pregnancy na fuata masharti ya daktari,
Mama kula vizuri baada ya kujifungua,
NB: ninaposema kula vzuri simaanishi kula in large quantity, but eating healthy and what matters
2) Pia malezi yenu na lifestyle mnayomchagulia mtoto wenu yatasaidia sana kuboost his/her intelligence