Mimi na mwenza wangu tunatarajia kutafuta mtoto wa kike, tunataka awe Giniasi tunaomba muongozo wenu

Mimi na mwenza wangu tunatarajia kutafuta mtoto wa kike, tunataka awe Giniasi tunaomba muongozo wenu

kaseva

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
473
Reaction score
305
Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike.
Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
 
genious are born not made sema kama unatafuta awe na viakili kumzdi kidogo bashite otherwise systeam ys magenious mapka wanakuwa huwez ukaamn
 
Mkuu we na mama watoto kuleni vizuri especially siku 90 kabla..then nenda kapige kazi..Mwenyezi Mungu atamalizia tu yatakayofuata..
 
gene zenu ni za huo u genius?

la sivyo watakua wamekuchapia
 
U giniasi wa mtoto hutokana na makuzi (malezi) unayompa katika ukuaji wake naweza kukupa mfano wa tofauti ya watoto wangu wawili hawa wa mwanzo, mmoja ana miaka mi 5 mwingine mi 2 na miezi mi 5 ila mambo anayoyafanya huyu wa miaka mi 2/5Months ni tofauti sana na kaka yake wa miaka mi 5 ambaye tulimlea kama yai (kama ujuavyo mtoto wa kwanza) ikamuwia vigumu hadi shule ubongo ulikua unalala lala kama malezi tuliyompa,lakini huyu kijana mdogo 2/5months mpaka sasa anaweza kuhesabu mpaka 10 bila kukosea,anaweza kuandika (japo vingi havieleweki) ,anahoji au kuongea lolote kwa kila anachokiona,hajikojolei wala hajisaidii choo kikubwa kwenye nguo yaani kiufupi ukikaa nae hautojisikia upweke,nyumba inachangamka sana kwa ajili yake yeye,kiufupi namtabiria mazuri na makubwa zaidi
 
Mm naamini tulizeni akili zenu vzr ,ondoweni stress ,mshauliane mtoto akulie katika mazingira gani, na pia itakuwa poua mkienda kwa daktar,vilevile muombe kwa mungu
 
Back
Top Bottom