Mimi na wewe...

Mimi na wewe...

Aaaa unajua siku zote watu wenye fujo fujo kama sisi huwa ndo tunabahatika, tunapata wanawake wametulia na hawana shida.

Yani Mungu wewe wacha tu anavyo nipenda...Thanks God.
 
Ummmmh. . . namba 7!!

Number 7 za pembeni zote zime fit vizuri sana,
tulivyoanza kuingia ndani zikaanza kugoma..
za katikati staki hata kufikiria, maana kama hizo
zingine zimeanza kugoma dahhhhh..
 
Number 7 za pembeni zote zime fit vizuri sana,
tulivyoanza kuingia ndani zikaanza kugoma..
za katikati staki hata kufikiria, maana kama hizo
zingine zimeanza kugoma dahhhhh..
Bwoiii. So how about we cross him off the list.
Alafu tumueke yule Rais wa kukosea maswali. . . lolzz
 
Hahahaha. . . usimfanyie hivyo bana!!Mshkaji kajitoa, MPE NAFASI.

gia alizotumia ni mbaya halafu feki sasa..
yule mwache tu kwakweli atawezana na hao wa
huko California... Nimejitoa jumla..
 
gia alizotumia ni mbaya halafu feki sasa..
yule mwache tu kwakweli atawezana na hao wa
huko California... Nimejitoa jumla..

Hahahahaha Carlifonia. Riiiiiiiight. . . . . .
 
hahahahahah usimruhusu tu chumbani kwako...
Muulize Lizzy Enjo alifanya nini kitandani kwangu jana..
(PM)hahaahah lol

Inabidi ukafundishe kutumia choo hako. . . . Au ukalaze nje!!
 
Hahahahaha Carlifonia. Riiiiiiiight. . . . . .

hahahahahhaha haya sijui tumpeleke kwa mchina..
maana jinsi alivyokuwa feki dahhh inatisha...
nampigia kimya kuanzia sec hii.
.
0014.gif
 
Back
Top Bottom