Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Mi naamini kila dhambi lazima uilipie, ulipaji unaweza chelewa ila lazima muda ufike uwajibike.

Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio. Usipende kuvuruga amani ya moyo ya MTU Mwingine kwa kumkomoa tu huku wewe ukiendelea kuenjoy.

Unadanganya kibiashara, kifedha, kifamilia, kijamii na kimapenzi, pesa unakopa hulipi, unafanya biashara na MTU unadhurumu, unadanganyia pipi na kutishia visu watoto unawabaka, unamwahidi kumwoa unamwachia mimba unasepa, unaua wazazi kwa tamaa za mali.

Unatelekeza familia sababu ya anasa, unamwaminisha MTU mpo safari moja kumbe umeaminisha wengi-wastage of time(hili limenipata but time will tell). Karma is real tusipojirekebisha wapendwa.
 
To yeye ndio maana nakupenda japokuwa hujui.

Leo umeongea jambo jema sana. Kuna uliyoyataja huko mwanzoni kuna mtu amenitendea, ila namuangalia tu mtesi wangu ipo siku atalipa atakiona. Hiyo ni kwa mujibu wa bandiko lako.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Be patient.... Time will tell mkuu
 
1674499791187.png
 
Back
Top Bottom