Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

Kila mtu anakinywea kikombe kwa namna yake, ndio maana wenye mali nyingi ndio wanaongoza kwa ukatili. Leo hii kuna wenzetu wamezikwa wapo kivyao kaburini.

Kila mtu atapatilizwa kwa mda wake. Do good or bad, you'll face it for shizzle!!
 
Yes,karma is real bro
 
Mi naamini kila dhambi lazima uilipie.....ulipaji unaweza chelewa ila lazima muda ufike uwajibike.

Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio.... Usipende kuvuruga amani ya moyo ya MTU Mwingine kwa kumkomoa tu huku wewe ukiendelea kuenjoy.

Unadanganya kibiashara, kifedha, kifamilia, kijamii na kimapenz....pesa unakopa hulipi, unafanya biashara na MTU unadhurumu, unadanganyia pipi na kutishia visu watoto unawabaka, unamwahidi kumwoa unamwachia mimba unasepa, unaua wazazi kwa tamaa za Mali...

Unatelekeza familia sababu ya anasa.....unamwaminisha MTU mpo safari moja kumbe umeaminisha wengi-wastage of time(hili limenipata but time will tell).......Karma is real tusipojirekebisha wapendwa.
Hili bandiko silipingi hata kidogo maana kuna vitu nilivifanyaga naona baada ya miaka kama vinanirudi ivi.... na viki ni rudi kumbukumbu inanijia mpaka naishiwa nguvu
 
Hili bandiko silipingi hata kidogo maana kuna vitu nilivifanyaga naona baada ya miaka kama vinanirudi ivi.... na viki ni rudi kumbukumbu inanijia mpaka naishiwa nguvu
Ndio ile what goes around comes around ausio!! Hahahaaa...
 
Back
Top Bottom