Mimi naamini Ukraine na Marekani wapo juu ya huu mpango wa ugaidi nchini Urusi!!

Hawa vijana wana mihemko tu dhidi ya US.
 
Bado Urusi atapigika sana ili aone namna Ukraine imeumizwa na ugaidi wake
 
Mmarekani alimuonya Mrusi kwamba jamaa watapiga, akamwambia mpaka watapiga wapi na lini, kwa sababu alikuwa ana intelligence.

Mrusi akapuuzia.

Sasa, kama Mmarekani kapanga, kwa nini amwambie Mrusi?

Yani Mmarekani apange shambulizi halafu mwenyewe amwambie Mrusi kuhusu shambulio hilo?
 
Shambulizi hilo lilipangwa na US lakin akatumia kauli ya kuudanganya ulimwengu ili aonekane yy ana intelligence kuliko wengine.
 
Shambulizi hilo lilipangwa na US lakin akatumia kauli ya kuudanganya ulimwengu ili aonekane yy ana intelligence kuliko wengine.
Hizi stories za vijiweni zisizo na ushahidi wala uthibitisho kila mtu anaweza kusema.

Hai make sense US kuandaa shambulizi halafu US hiyo hiyo iistue Russia kwamba kuna shambulizi.

Sema jingine, US hawajawahi kwenda mwezini wame fake tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…