Electrician JF
Member
- Nov 28, 2019
- 5
- 133
Mimi naamini kabisa humu wanawake wa JF ni warembo kwa kuangalia avatar zao tu inaonesha wengi ni macutee. Maana watu huweka avatar ya picha zinazoendana nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AstaghafirulilahNa wewe ni mrembo mwenzetu.
Na mijusi pia wanayoWana chura?
we bado mgeni sana humu,soma mchezo kwanza utalizwa achana nahizo avator!Tushawakimbia sana maeneo ya appointment,unatoa na betri kabisa...mwanamke hujui mbele wapi wala nyuma ni wapiMimi naamini kabisa humu wanawake wa JF ni warembo kwa kuangalia avatar zao tu inaonesha wengi ni macutee. Maana watu huweka avatar ya picha zinazoendana nao.
View attachment 1328421View attachment 1328422
Mimi naamini kabisa humu wanawake wa JF ni warembo kwa kuangalia avatar zao tu inaonesha wengi ni macutee. Maana watu huweka avatar ya picha zinazoendana nao.
View attachment 1328421View attachment 1328422
Unamaanisha nyuma hamna tako na mbele hamna tumbo?we bado mgeni sana humu,soma mchezo kwanza utalizwa achana nahizo avator!Tushawakimbia sana maeneo ya appointment,unatoa na betri kabisa...mwanamke hujui mbele wapi wala nyuma ni wapi
Unasifiaje wake za watu... Sifa zenyewe za kimahabaNimewasifia sijawatongoza