Mimi nacheza GTA 5, wewe je?

Pad kwa games za mpira na racing naona yafaa hata side scrolling games kama mark of the ninja na hizi assassin creed chronicle of china na india zinafaa ila kwa action kama call of duty au splintercell naona shida kutumia pads
Basi ni kama wanajeshi vitani. Kuna mtu anaona the bigger the gun the accuracy he gets na kuna mwingine we mpe Bereta tu anakuletea matokeo.
Kila mtu na taste yake
 
Mkuu vp Una pes 17 pc
Ninayo ila patch zake sina. Kwa io utacheza bila Licenced player wengi sana.
Team Kama Barcelona, Arsenal, Liverpool, BVB, ATM na chache sana ndo zina Licence. Niliwahi kuiPatch ila nilipoteza vile vifile ni kama MB 600
 
akha! basi mi nachezaga na madem zenu nyie mkiwa mnacheza magemu😀
Haha asee mi dem wangu akianza dalili za kibuti tu nazima sim nawasha PS mbona atakuja tuu nyumbani kunitafuta maana hewani sipatikan [emoji23] [emoji3]
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Hehhehee acha wapenzi wa mikeka na majamvi wanakuja
 
kwa nn tusifungue account 4share tukaweka game huko na hio account tuje share humu pamoja na passoward ila ningeshauri huo uzi wa kitambulisha hio account uweke jf store
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…