mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
- #21
Basi ni kama wanajeshi vitani. Kuna mtu anaona the bigger the gun the accuracy he gets na kuna mwingine we mpe Bereta tu anakuletea matokeo.Pad kwa games za mpira na racing naona yafaa hata side scrolling games kama mark of the ninja na hizi assassin creed chronicle of china na india zinafaa ila kwa action kama call of duty au splintercell naona shida kutumia pads
Kila mtu na taste yake