Mimi naelewa madhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu. So inahitajika pia ushauri wa Kisaikolojia kwa Team ya Yanga

Mimi naelewa madhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu. So inahitajika pia ushauri wa Kisaikolojia kwa Team ya Yanga

Taasisi kama TFF ipo na nadhani ikiwa kuna shutuma kuhusu matumizi ya madawa ya kusisimua na kuupa mwili nguvu za ziada, kuhusu yanga , na kama watoa shutuma wana vielelezo IWEJE wako kimya? Wana mandate ya kuchunguza na kutoa taarifa..au tuamini kuwa ni sehemu ya propaganda za wapinzani wa Yanga? Lakini shutuma ni nzito zinachafua club eti
 
Sasa wataanza kutibia ni maana kuna moshi wa shisha kwenye mapafu, viuoni wamejaza UTI kutoka kwa yule demu wao wanayepasiana, sasa tena na side effects za sindano hao wapelekwe sober house tu.
 
Safari ya Kujirudi na Hali ya Yanga

Kuna kipindi nilijikuta nikitegemea sana pombe—whisky, gin, na bia. Ilifika hatua hata uwezo wangu wa kawaida wa kupiga shoo ulishuka sana. Nilikuwa siwezi kufanya chochote bila kunywa konyagi kwanza, na hapo ndipo ningechangamka na kucheza vizuri.

Ili kuwa mbaya zaidi, nikaanza kutumia Red Bull au mzinga mzima kabla ya shoo. Nilipoingia uwanjani, watu walishangazwa na uwezo wangu—masaa mawili mfululizo nilikuwa "full speed" kama mtandao wa 5G. Lakini nyuma ya pazia, hali haikuwa nzuri. Nilipoteza kujiamini kabisa. Bila vinywaji au vilevi, nilihisi sina nguvu na nikawa mnyonge.

Nilipogundua kuwa maisha yangu yanaweza kuharibika nikiwa bado kijana, nikaamua kujiondoa taratibu kwenye huo utegemezi. Haikuwa rahisi—mara nyingi nilianguka na kushindwa kufanya vizuri. Hadi nilipomwona daktari ambaye alinisaidia kurejea kwenye hali ya kawaida. Leo, sipendi mtu anishauri kutumia chochote cha kunipa nguvu za muda. Hata ukiniambia maji yanaongeza nguvu, sitakunywa kwa sababu najua nikianza kutegemea kitu, nitaangamia.

Hali ya Yanga SC

Tatizo hili naliona kwa timu yetu ya Yanga. Inaonekana kama wachezaji walitegemea “booster” fulani kujiimarisha. Sasa baada ya Azam kufichua suala hilo, imewaathiri kisaikolojia. Wakiwa sober (bila hizo “booster”), hawajiamini tena. Naamini wanahitaji mshauri wa saikolojia kuwaimarisha kiakili na kurudisha hali yao ya kujiamini.

Matumizi ya madawa hayo yanaweza kusaidia kwa muda mfupi, lakini athari zake kwa muda mrefu ni mbaya—hadi kwenye afya ya kiume. Kwa sasa wachezaji wetu wanaonekana kama wamechoka sana, licha ya kuwa na mapumziko ya kutosha kabla ya mechi. Tofauti na Azam waliocheza na Pamba, halafu wakarudi wakafanya vizuri jana.

Kocha anatakiwa kuzuia kabisa matumizi ya dawa hizi kwa wachezaji. FIFA ikigundua, inaweza kuleta matatizo makubwa kwa timu. Wachezaji kama Aziz Ki na Dube wamebadilika sana, na sasa wanalaumu kila kitu na kila mtu. Ni muhimu wachezaji wajengwe kisaikolojia ili waache kuamini uchawi au madawa kama njia ya kufanikisha michezo. Wakiendelea hivyo, wataua vipaji vyao, na timu yetu itaumia kwa jambo la kipuuzi.
Utopolo wafungiwe na FIFA kwa kutumia madawa ya kuongeza nguvu
 
Haya tutumie reference ya hizo mbili

1) Yanga vs Azam
Azam walipata ushindi kutokana na Yanga kuwa pungufu, kama uliangalia mpira mwanzo mwisho basi utakuwa shahidi ni namna gani Yanga pamoja na kuwa pungufu lakini waliliandama lango la Azam kila mara na Azam kuomba mpira uishe

2) Mechi ya Yanga vs Tabora, Yanga walicheza bila uwepo wa mabeki wake tegemeo hivyo kocha akalazimika kumuweka Aucho kama beki jambo ambalo lilipelekea Yanga kukosa balance eneo la ulinzi.

3) Yanga vs Al Hilal anakuja kocha ambaye ni mgeni kabisa na muda mfupi kuelekea kwenye mechi za klabu bingwa
Hawatakuelewa unapoteza muda wako.
Wajinga ni wengi hii nchi.
 
Hili jambo la madawa kuwa mateja walikuwa wanabost inabidi lifike mwisho ndio maana viongozi hawataki kulisikia kw kuwa hivi vilabu viwili ndio nembo ya nchi na ndio huliingizia taifa fedha za kigeni hivyo hili jambo inabidi liishe lisifike duniani
 
Unamaanisha hizi hasira si za kawaida kuna kitu nyuma ya pazia 😁? Pengine zinatokana na busta!
busta ndo sababu inaleta hasira..... sisi wanayanga wenye akili tunakataa matumizi ya busta hawa wapuuzi wengi wanaona ni sawa tu. kumbe wanaharibu team. na hili suala sema viongozi tu waliingilia kuwa lisifike mbali kuna watu wa Azam walitaka kumwaga mboga ikatumika busara.
 
Taasisi kama TFF ipo na nadhani ikiwa kuna shutuma kuhusu matumizi ya madawa ya kusisimua na kuupa mwili nguvu za ziada, kuhusu yanga , na kama watoa shutuma wana vielelezo IWEJE wako kimya? Wana mandate ya kuchunguza na kutoa taarifa..au tuamini kuwa ni sehemu ya propaganda za wapinzani wa Yanga? Lakini shutuma ni nzito zinachafua club eti
na hili suala sema viongozi tu waliingilia kuwa lisifike mbali kuna watu wa Azam walitaka kumwaga mboga ikatumika busara. umeona TFF ikikemea? umeona Viongozi Yanga wamekuja kukanusha? Fikiria sasa ujue nini kinatokea
 
Back
Top Bottom