Mimi naelewa madhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu. So inahitajika pia ushauri wa Kisaikolojia kwa Team ya Yanga

Taasisi kama TFF ipo na nadhani ikiwa kuna shutuma kuhusu matumizi ya madawa ya kusisimua na kuupa mwili nguvu za ziada, kuhusu yanga , na kama watoa shutuma wana vielelezo IWEJE wako kimya? Wana mandate ya kuchunguza na kutoa taarifa..au tuamini kuwa ni sehemu ya propaganda za wapinzani wa Yanga? Lakini shutuma ni nzito zinachafua club eti
 
Sasa wataanza kutibia ni maana kuna moshi wa shisha kwenye mapafu, viuoni wamejaza UTI kutoka kwa yule demu wao wanayepasiana, sasa tena na side effects za sindano hao wapelekwe sober house tu.
 
Utopolo wafungiwe na FIFA kwa kutumia madawa ya kuongeza nguvu
 
Hawatakuelewa unapoteza muda wako.
Wajinga ni wengi hii nchi.
 
Hili jambo la madawa kuwa mateja walikuwa wanabost inabidi lifike mwisho ndio maana viongozi hawataki kulisikia kw kuwa hivi vilabu viwili ndio nembo ya nchi na ndio huliingizia taifa fedha za kigeni hivyo hili jambo inabidi liishe lisifike duniani
 
Unamaanisha hizi hasira si za kawaida kuna kitu nyuma ya pazia 😁? Pengine zinatokana na busta!
busta ndo sababu inaleta hasira..... sisi wanayanga wenye akili tunakataa matumizi ya busta hawa wapuuzi wengi wanaona ni sawa tu. kumbe wanaharibu team. na hili suala sema viongozi tu waliingilia kuwa lisifike mbali kuna watu wa Azam walitaka kumwaga mboga ikatumika busara.
 
na hili suala sema viongozi tu waliingilia kuwa lisifike mbali kuna watu wa Azam walitaka kumwaga mboga ikatumika busara. umeona TFF ikikemea? umeona Viongozi Yanga wamekuja kukanusha? Fikiria sasa ujue nini kinatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…