B Ba Jayden New Member Joined Jan 20, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Jan 20, 2014 #1 Ba ndugu....Mimi nafanya Kazi ya kutoa mizigo bandalini natafutafuta mnisaidie..
W Westham Member Joined Nov 7, 2013 Posts 23 Reaction score 0 Jan 21, 2014 #2 Tairi mpya size 385/65/22.5 kutoka China unatowa kwa Tshs ngapi?
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,304 Jan 21, 2014 #3 Ba Jayden said: Ba ndugu....Mimi nafanya Kazi ya kutoa mizigo bandalini natafutafuta mnisaidie.. Click to expand... mbona maelezo yako yamekaa kimulugo na inaonyesha hauko makini na kazi yako
Ba Jayden said: Ba ndugu....Mimi nafanya Kazi ya kutoa mizigo bandalini natafutafuta mnisaidie.. Click to expand... mbona maelezo yako yamekaa kimulugo na inaonyesha hauko makini na kazi yako
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,126 Jan 21, 2014 #4 Upo bandalini unataka msaada?tuma namba ya mpesa nikutumie za kula.