Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

Enye kizazi cha smart phon tweter instagram fanyeni kaz
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani sasa mbona we umekuja kuiweka hadharani? By the way vumilia tu kwani wewe sio wa kwanza kuchapiwa
 

Umechapiwa mkuu!!
Na wewe mchapie!!

mkuu kizuri kula na mwenzio... sema wewe akija tumia condom kula mzigo wako kwa furaha usiwaze baada ya hapo we mwache aende dar aje huku wamtafune vizuri tu huku wewe ukiendelea kujiweka pembeni kiaina

Demu wangu ndio wako niliona unampigia cm sana nikazima

hahaha tena mwanachuo aisee jiandae kwa majanga zaidi,ushauri jitoe taratibu hapo au fanya kama ni msichana wakukushusha nyege tu usiwekeze kwa wadada wa chuo utalia mkuu mpe hela piga miti sepaaa

acha uboyo wewe kijana huyo mwanamke maku atatembwa nayo hivyo anaweza gawa kwa yoyote yule. cha msingi ukipata zamu yako gegeda ufurahi basi. usiweke mwanamke roho ata siku moja itakula kwako.

Akija Dar nitaarifu 'nimuweke mjini'... Naahidi kumrudisha tena mikononi mwako akiwa salama ila pia akiwa ametumika kidogo tu...
Vitendo vya Uzinzi na Uasherati! Shetani anazidi kuwakusanya tu kwenye list yake. Jamani acheni zinaa, acheni uasherati, Imeandikwa; "Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni Hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na MUNGU?" Soma,1 WAKORINTHO 6:18-19
Kama unataka starehe ya kuwa na mwanamke basi "oa". Tafuta mke, oa na awe mke wako wa halali. Mambo ya Uzinzi na Uasherati acheni kabisa. Jamani mtukuzeni MUNGU katika miili yenu.
 
acha kunikumbusha machungu jamaa yangu wa kwangu jana nampigia kuanzia saa tisa mchana anakuja kupokea saa moja na hv za usiku hvi nipomuuliza kulikoni anasema ana hasira halafu kichwa kinamuua kwa sababu alipewa adhabu ya kudeki darasa zima yupo chuo kimoja hpa arusha yaani hawa mademu zetu ni pasua kichwa
 
amina mtumishi
 
alikuwa anadeki rungu haahaha ,,
 

usemalo ni kweli lakini kaka unajua kuoa twapenda tatizo ndalama kaka maana huwezi kwenda kwa wakwe na mgegedo wako tuu, utaulizwa una nini? sasa hela tulizokuwa nazo ni za kulipia vidate sio vya kuhudumia familia. ebu tushauri tufanyaje
 
Wanawake wapo wengi mkuu ukipenda uzuri jiandae kuwa mtumwa
 
Wakikumegea wa kwako na wewe tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume....

Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani..masikini roho yangu[emoji56][emoji56][emoji56]
 
Wana chapiwa watu wanaomiliki mpaka Ikulu itakuwa Wewe Unamiliki Kidudu na Ki boxer chako
 
hamna cha utafiti wala nini hapo,amkaushie asije kwake,kuna mijamke inapenda ufanye kila inachotaka haijali mazingira
 
Mapenzi nayo ni KAZI
 
mkuu kizuri kula na mwenzio... sema wewe akija tumia condom kula mzigo wako kwa furaha usiwaze baada ya hapo we mwache aende dar aje huku wamtafune vizuri tu huku wewe ukiendelea kujiweka pembeni kiaina
Daah acha nipate kigugumizi aisee,eti kizuri kula na wenzio,aisee skubali arawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…